Marashaaa95
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 848
- 724
Nimeona DLS kuna updates play store mb 52 kwa aliye updates kunajipya??
Huna mb ama, nenda ka updateNimeona DLS kuna updates play store mb 52 kwa aliye updates kunajipya??
Nipe link ya game hili![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nakuala action za psp ndani ya smart phine yangu nikitumia psp emulator
Mmeona kikosi hiko na coins wakuu
Nimeupdate bt naona tu wakina neymar style za nywele zmebadilika n.kHuna mb ama, nenda ka update
Hayoo macoins afu uko dv 2

Yeah, we hack emHayoo macoins afu uko dv 2![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nielekeze kuhack mkuu japo kidogo napata tabuYeah, we hack em
Ukidownload inakuwa ishahakiwa???Si lazima lucky patcher mkuu, kuna mkuu flan alipost link humu ukidownload inakua fresh
Ndio mkuu, angalia posts za mkuu chief mkwawa
Mbona in mb 202 limeshahakiwa???au nitadownload extra?Hii hapa
Mkuu umenichekesha sana hapaHayoo macoins afu uko dv 2![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
m,kuu ulifanikiwa kucheat dream leagueHabari wanajamvi na wapenzi wa games
Mzigo wa DLS 2017 ushatoka kitambo,naomba msaada wa link yake ambayo ipo cracked tayari ili kupata unlimited coins.
Unafanyaje hio mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nakuala action za psp ndani ya smart phine yangu nikitumia psp emulator
Mkuu coin hzo BA's na ss mbona njia lucky putcher inazingua