Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,367
- 2,800
Kama wewe unatumia Game la Efootball Ambalo ni offline modded basi Kuna Habari mbaya kwako ๐
KONAMI imetoa onyo kali kwa watumiaji wa Modded eFootball na programu zisizoidhinishwa zinazobadilisha mfumo wa mchezo. Ukiukaji wa masharti unaweza kusababisha akaunti yako kusimamishwa au kufungiwa! ๐ซ๐ฎ
Modded eFootball ni nini?
Ni toleo lisilo rasmi la mchezo ambalo limebadilishwa na watu wengine ili kuongeza au kubadilisha baadhi ya vipengele, kama vile;
- kupata unlimited coins au GP.
- Kufungua wachezaji au kadi ambazo hazipatikani kwa urahisi kwenye toleo rasmi.
- Kuongeza jezi, timu na vipengele vya picha ambavyo havipo kwenye mchezo wa kawaida.
- Kubadilisha baadhi ya faili au mfumo wa mchezo nk.
Kumbuka Hii ni tahadhari kwa wale wanaotumia matoleo ambayo sio rasmi hivyo Usihatarishe akaunti yako kwa kutafuta faida za haraka!
Unawambia nini watumiaji wa Modded Efootball ๐ฎ tags washikaji zako watambue mapema.
#bongotech255