Habari wanajamvi na wapenzi wa games
Mzigo wa DLS 2017 ushatoka kitambo,naomba msaada wa link yake ambayo ipo cracked tayari ili kupata unlimited coins.
Haa haa haa wanasema mvivu mpe kazi nzito maana atatafuta njia nyepesi ya kuifanya na maisha yaendelee
Nisaidie settings hizo
simu umeroot au haujaroot?Kwa bahati mbaya niliiunstall kabsa mkuu
Kuna tofauti gani kwenye hili game kama umeroot au haujaroot?simu umeroot au haujaroot?
ukiroot unacheat tu na app kama gameguardian ila kama hujaroot inabidi udownload upya au udownload saved file ya mwenzakoKuna tofauti gani kwenye hili game kama umeroot au haujaroot?
Pamoja mkuu,nmekupata. Shukrani.ukiroot unacheat tu na app kama gameguardian ila kama hujaroot inabidi udownload upya au udownload saved file ya mwenzako
Hivi ni game gani lingine kutoa hili ni zuri kwa simu za android hasa ya offline.?ukiroot unacheat tu na app kama gameguardian ila kama hujaroot inabidi udownload upya au udownload saved file ya mwenzako
Vp mkuuacademy?
la mpira? kuna real football, fifa na pes. ila kwa gameplay games za psp ni nzuri kama una pad download ppsspp na rom ya pes ucheze game lenye uhalisiaHivi ni game gani lingine kutoa hili ni zuri kwa simu za android hasa ya offline.?