Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

DLS ni nyepes waachieni wacheze wadada pakueni first touch,sema mi fts 2017 linanishinda kuinstall,,.DLS napika watu mpka 34 amna cha maana raha ya game upate challenge.
Hahahahahaha unafunga magoli mengi si kwa kuwa umelizoea, mwanzoni uliambulia kichapo, bado umechakachua coins, hata games nyingine ni hivyo hivyo ukizoea zinakua rahisi ndiyo maana ya experience, halafu first touch umesema umeshindwa ku_install sasa umechezaje??
 
Nina coins 83.8M, kikosi changu ni hatari... yan kila mchezaj nikijiskia kumnunua ni fasta
Hahahahahha usisahau unahitajika na taifa kama nguvu kazi kulijenga taifa lako la viwanda, cheza game kwa kiasi
 
Jitahidi kununua mkuu ukisajili wachezaji 100 na zaidi kuna achievement unai-unlock nimeona jana kwenye hii dls ya 2017
Safiiiiiii mkuu, ila sio sawa maana squad ina limit ya wachezaji 32 huwezi nunua zaidi ya hapo, au wewe umefanyaje??
 
7c259cca0a9a07f3152981aa9b50aa1f.jpg
455318015379363c97765cc990d10eb0.jpg
6c59122d9e6c26a2c675fabb5ea4ce3b.jpg
176f5b21e5fbc1bb846cb400aaeb0cb0.jpg
3df46346a838367f674890ace0a72962.jpg
c8dbea66eeecfc054ccbf4e8e9d3955c.jpg
7dc5ab490051e6debf164794214b6c8a.jpg
009570bbd7ac3878b878d8b4f597099d.jpg

Nakuala action za psp ndani ya smart phine yangu nikitumia psp emulator
 
Nimeliona mkuu naomba maelekezo tafadhali
unatakiwa uwe na file manager mfano hilo es file explorer then fungua click internal storage utaona kuna folder linaitwa android bonyeza hapo ndani utakuta file la android na data.

rudi kwenye game copy kilichopo ndani ya obb kakipaste kwenye folder la obb lililopo ndani ya android, kacopy na data kapaste kwenye folder la data kwenye android, then install apk halafu cheza game.
 
Sawa, mkuu ila nisaidie nacopy file zima la obb?
 
Kuna android folder la sd card na la Enternal wapi sahihi kuweka (enternal au Sd)
 
Safiiiiiii mkuu, ila sio sawa maana squad ina limit ya wachezaji 32 huwezi nunua zaidi ya hapo, au wewe umefanyaje??
Mkuu yenyewe inahesabu unaonunua na kuuza so wakifika limit(32) unauza unaotaka na kununua wapya ile count inaendelea kama kawaida.
 
So far zile achievements zipo 63 nimeweza kuzitimiza 40 bado 23 ambazo ni hizi hapa
 
Attachments

  • Screenshot_2017-06-21-15-00-08.png
    Screenshot_2017-06-21-15-00-08.png
    53.2 KB · Views: 63
  • Screenshot_2017-06-21-15-00-29.png
    Screenshot_2017-06-21-15-00-29.png
    55.8 KB · Views: 64
  • Screenshot_2017-06-21-15-00-44.png
    Screenshot_2017-06-21-15-00-44.png
    59 KB · Views: 58

Similar Discussions

Back
Top Bottom