Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Yah mkuu nimelipataUMEFANIKIWA KULIPATA?
Yah mkuu nimelipataUMEFANIKIWA KULIPATA?
haa we unataka samatta tuMbwana samata simuoni ngoja ni unstall niweke pes 2017
Kwasasa hiyo game kama ume update, huwezi cheat teana kwa lucky patcher.m,kuu ulifanikiwa kucheat dream league
Hiyo update mkuu wamebana uchakachuzi wa coinsHuna mb ama, nenda ka update
Wamebana uchakachuzi wa coins via lucky patcher.Nimeona DLS kuna updates play store mb 52 kwa aliye updates kunajipya??
New record sijapoteza game wala sijadroo
Wamebana huwez tena kwa sababu ya security kwa lucky patcherWakuu naombeni msaada. Nili install lucky putcher ili nichakachue coins. Baada ya kuinstall nikafata process za kuchakachua coins sikufanikiwa. Nikilifungua game halifunguki nikitaka kuli unstall halinipi option ya kuunstall.
Nimerestore mpaka simu lakini bado halijaondoka.
Mkuu nachotaka nikuli unstall ili nilidownload upya nisome vizuriWamebana huwez tena kwa sababu ya security kwa lucky patcher
Naona uliweka DLS17 Kuwa system app ndicho ulichokosea,Mkuu nachotaka nikuli unstall ili nilidownload upya nisome vizuri
So itabidi niroot simu?Naona uliweka DLS17 Kuwa system app ndicho ulichokosea,
Download kingroot ili ulifute kwenye simu.
Yeah kwan lucky patcher ulikua unatumia bila root access??So itabidi niroot simu?
Ndio nilikuwa natumia Bila kurootYeah kwan lucky patcher ulikua unatumia bila root access??
Root simu afu uje tukuelekeze mkuu
Root sasa simu yako kama unajua proceduresNdio nilikuwa natumia Bila kuroot
Pole sana mkuuWakuu naombeni msaada. Nili install lucky putcher ili nichakachue coins. Baada ya kuinstall nikafata process za kuchakachua coins sikufanikiwa. Nikilifungua game halifunguki nikitaka kuli unstall halinipi option ya kuunstall.
Nimerestore mpaka simu lakini bado halijaondoka.
