Nikicheza online sijawahi kumuacha mtu salamaMkuu mtandao ulikua unazingua mbaya,nkaamua ku give up.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




Napigaga mtu 10 kama sina akili nzuri vleNi kunyanyuakwapa tu![]()
Angalia page mbili za Thread, Mkuu chief mkwawa ameliweka.FTS 2017 naomba kwa mwenye nalo naona hili la 2015 hata Messi hajafuga ndevu pia haonekani katika sura halisi, au kama kuna mtu anafahamu namna ya ku-upgrade toka 2015 kwenda 2017 anipe maelekezo
Sijabahatika kuiona mkuu sijui kama unaweza kui-quote hapa jukwaani unisaidie.Angalia page mbili za Thread, Mkuu chief mkwawa ameliweka.
Shukran mkuu ila nahitaji FTS 2017 kaka
Nimeenda Google nimedownload ila inahitaji baadhi ya vitu kutoka Google play store na ikianza kudownload inaandika not connectedDownload tu gemu jipya 2017 dos mkuu
First Touch Soccer 2017 hilo ndilo nataka kaka nina FTS 2015 ila halipo kisasa wachezaji hawana sura husika.Wewe si unataka dream league soccer Raphael wa ureno
Mkuu coin hzo BA's na ss mbona njia lucky putcher inazinguaWelcome guys![]()
Mkuu coin hzo BA's na ss mbona njia lucky putcher inazingua
Hana haja ya ku_root simu anaweza akatumia njia nyepesi na rahisimkuu ume root simu???