Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Pes 2017 ni uchafu tu kama unalipenda basi hujajua game nzuri, nimesha unstall muda tu sioni la umuhimu kuendelea kukaa nalo, wewe umesema DLS lina mapungufu mengi tu sasa hoja yako kuu ni hiyo Kwamba huwezi kupaki basi kwamba utafungwa tu sasa hapo umeongea nini mapungufu kwenye kufungwa? halafu nilitegemea ukijibu ungetaja mapungufu, badala yake unakuja kuniuliza nimecheza pes2017?dls ndiyo game lenye kupendwa zaidi kwa kuwa ni bora zaidi hata rate kaangalie playstore utaona DlS limepewa high recommendation rate than Pes 2017 nenda playstore usibishane na mimi.
unapojibu hoja soma vizuri sijasema unapaki basi then unafungwa, nimesema unapaki basi then unafungwa counter attack, hio inaonyesha jinsi game lisivyo na uhalisia.

kwenye mpira unaposet tactics zako kama defensive mabeki wako wanatakiwa wawe nyuma kabisa, sasa umeset defensive then timu pinzani inakuwa na forward wengi mbele kuliko mabeki wako inaleta maana?

na mimi sijasema pes 2017 ni perfect nimetoa udhaifu wake mwingi tu hapo juu, kama vile dream league lilivyo na udhaifu na madhaifu mengine ya dream league haya.

-huchezi mechi ya exhibition (ukachagua timu mbili ukazichezesha)
-huwezi badili timu, timu yako ni hiyo hiyo hadi unakufa
-league zisizo na uhalisia
*ligi yenye timu 15
*hakuna UEFA wala Kombe lifananialo, global cup ni mtoano tu hata makundi hamna
-gameplay yake haina uhalisia vitu kama corner ni almost lazima kufunga, kuna timu mabeki wa kati wapo mbali mbali unamkimbiza tu mchezaji katikati moja kwa moja hadi anaenda kufunga, muulize mtu yoyote anaefunga magoli 20+ atakwambia anafungaje, kuna jamaa amepost pia screenshot hi humu muulize amefungaje.
-huna uwezo wa kuchagua graphics, ukiwa na simu ya highend yenye full HD au Quad HD ukicheza multiplayer na mtu game linaslow down
-formation ni hizo hizo unapangiwa huwezi chagua custom formation ambayo unaitengeneza mwenyewe
-huwezi toa individual command kwa mchezaji mmoja
-huwezi tengeneza tactics

hayo machache ninayoyakumbuka hapa yapo mengine ukitaka zaidi naweza fanya research
 
Ww jamaa hli povu la nn sasa,ww itakuwa magame umeyajua juz juz tu ndo maan unatokwa na povu hvi,,mm najua haujaelewa nn kimezungumzwa Wenda umeelewa vibaya,,rudi soma vzur
 
Chief ww huyo mwache msamehe tu amekurupuka ,wakat point yako wa haujaliponda DLS
 
Mm busy na hzi game tu jamanii
 
Attachments

  • Screenshot_2017-06-20-20-31-55.png
    Screenshot_2017-06-20-20-31-55.png
    596 KB · Views: 54
  • Screenshot_2017-06-20-20-29-54.png
    Screenshot_2017-06-20-20-29-54.png
    791 KB · Views: 51
  • Screenshot_2017-06-20-20-30-16.png
    Screenshot_2017-06-20-20-30-16.png
    628.1 KB · Views: 57
Ww jamaa hli povu la nn sasa,ww itakuwa magame umeyajua juz juz tu ndo maan unatokwa na povu hvi,,mm najua haujaelewa nn kimezungumzwa Wenda umeelewa vibaya,,rudi soma vzur
Wewe nawe sijui umetokea wapi, acha ushabiki usio na maana, mimi na chief mkwawa tunajadiri kwa uzuri kabisa sasa wewe umetoka huko speed mia nini kina kuwasha, tulia wanaume tuongee, usipende kuongea bila takwimu nenda playstore ukaangalie ni game gani limepewa rate kubwa n wadau wapenda soccer kati ya haya mawili pes2017 vs DLS
 
Weka first touch basii mbona unaliacha?
 
Wewe nawe sijui umetokea wapi, acha ushabiki usio na maana, mimi na chief mkwawa tunajadiri kwa uzuri kabisa sasa wewe umetoka huko speed mia nini kina kuwasha, tulia wanaume tuongee, usipende kuongea bila takwimu nenda playstore ukaangalie ni game gani limepewa rate kubwa n wadau wapenda soccer kati ya haya mawili pes2017 vs DLS
Halafu hata kama mnaweka mambo sawa tumia lugha nzuri basii lugha uliyotumia kias kwamba unajua sanaaaaa kumbe hamna kituu
 
Upo vizuri, pambana ugonge mpaka umelize stage nyingine,utafurahia i believe.
DLS ni nyepes waachieni wacheze wadada pakueni first touch,sema mi fts 2017 linanishinda kuinstall,,.DLS napika watu mpka 34 amna cha maana raha ya game upate challenge.
 
Nina coins 83.8M, kikosi changu ni hatari... yan kila mchezaj nikijiskia kumnunua ni fasta
 
Jitahidi kununua mkuu ukisajili wachezaji 100 na zaidi kuna achievement unai-unlock nimeona jana kwenye hii dls ya 2017
 
Wakuu mbona mimi siwezi kujenga uwanja
Unatakiwa uwe na coins ili uweze kujenga uwanja,na kila jukwaa lina kiwango chake kutokana na capacity inayobeba,kila unapojenga uwanja ndio unavyoweza kupanda daraja mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom