radiation
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 241
- 254
Chief-Mkwawa vp mkuu nawezaje kucheat kwenye iPad hili game la dhl
Nimecheka mpaka mbavu zinaumaNimeamua kucheat ili nipate coins Bt procedure zote nimefuata,imebuma mpaka game likajifuta mazima,ikabidi nidownload upya
Any ideas hatua kwa hatua ili nipate coins.
chief mkwawa
Unacheka wakati mwenzako nataka niibe coinsNimecheka mpaka mbavu zinauma



mkuu games za internet ambazo huzitoi playstore inabidi udownload apk na data zake sio apk tupu, hasa ambazo playstore hazipatikani kwa TanzaniaShukran mkuu ila nahitaji FTS 2017 kaka
inawezekana mkuu ila kuna steps za hapa na pale inabidi ufuate kama hazitakuwa ngumu kwako ingia hapaChief-Mkwawa vp mkuu nawezaje kucheat kwenye iPad hili game la dhl
