Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

Mkuu inabidi kwanza u root simu yako kisha weka lucky patcher then fuata vema maelekezo ya jamaa pale juu.
Mi sasa hivi kosi langu wote ni GOLDEN BOYS
Highlight Uzi alioelekeza mkuu me nmeshindwa kuuelewa nmejaribu nnkaishia kufuta game pasipo kujijua
 
Mimi naamini nitafanya kazi bila kucheat coins japo players wangu hawajafika level ya golden boys lakini mziki wao ni kwere record zangu ni matata sana
Kila heri mkuu nyie ndo mnaoneshwa dhahabu ile lakini mnakwenda kuchimba shimo pembeni uikute dhahabu ile.ile
 
47432977459be41d9e62065e27d352c3.jpg
Mie hapa bila kucheat coins. ,kikosi changu cha kawaida mnoooo ,nilifuata kila hatua nikaishia kufuta games .
Mkuu haina haja ya kucheat sababu inatakiwa upate coins kihalali kwa kucheki video na kushinda mechi,unapopata coins nyingi na kununua mchezaji/wachezaji unaowataka huwa inapendeza zaidi mimi nimeona ni vyema ninunue wachezaji ambao wakiwa kwenye timu zao wananisumbua sana na matokeo yake ni kama haya hapa
 

Attachments

  • 1496675422022.png
    1496675422022.png
    86.3 KB · Views: 70
092830c7202e0cad8b1138a60d587c2a.jpg

1.Anza kwa kudownload lucky patcher

a6ab5d4ccacb1d6a018f54e8d914d375.jpg

2.Then ifungue app ya lucky patcher na utafute Dream league ilipo

3de1d977ec2e6697f8aedcb5bdffcc0f.jpg

3.Fungua sehemu ilivyoandikwa hivyo

6946160e6a3e18a78bd684f098921737.jpg

4.Bonyeza sehemu iliyoandikwa Create Apk kama nilivyomark

af7f17a8d83b6de6f027c3148b31b986.jpg

5.Bonyeza sehemu iliyonyoandikwa hivyo

8c03934c38442b7684f17543d997c511.jpg

6.Bonyeza rebuild up na uiache iprocess kama kwa dakika 2 nzima
Ikimashamaliza itakuletea option ya kuinistall/unstall game
Fanya hivyo



f8afa8e3a1ee9b4edc73bd680e0e6f44.jpg

Likisha install rudi nyuma kawaida na ufungue App ya DLS kawaida.
Likishafunguka na ukasajili captain wako bonyeza pale kwenye COINS

7a6a4307b55caaa63236d938d365cdad.jpg

Ukishabonyeza kwenye COINS itakuletea hiyo option na weka TICK kama nilivofanya hapa
Mkuu, mimi sijapata sehemu ya kuistall Game.
 
Mkuu, kuna moja hapo ina MB 61. Pia kuna nyingine inaitwa OBB ina MB 213.

Hapo Sijaelewa Mkuu.
hio yenye 61mb ni apk, unainstall kama kawaida,

hio yenye mb 200+ ni data inabidi uzi extract then uchukue folder lake uende folder la android ndani utakuta mafolder mawili ya data na obb, fungua hilo obb then paste humo hilo file la mb 200,

hakikisha folder hilo la mb 200 lipo mfumo kama huu

com.firsttouch.
 
Sio mtu unashinda 11 au 14 afu POSSESSION una 27 afu mpinzani 73 cheki hapo mtu kapigwa na possession ya maana maana yake pasi za kutosha afu NO SHOOT ON MY GOAL

b8555917419fdcbc659141807ece6b21.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom