Apk ya Dream League soccer 2017

Apk ya Dream League soccer 2017

181844d9808be71f63f2aa464049cb02.jpg
de00d685cfa2f9ecd92c1edb89d7e950.jpg

Game zangu hzoo
 
Sipendi sana kutumie emulators kwenye simu ila nice games. Btw, mbna mba uayocheza ni sooo outdated??
kwan sasa mkuu hupendi?
Natumia hiz zenye mb ndogo koz cm yang ram yake ni ndogo so natumia hzo za kitambo
 
a825e53d1bfd259494b395b8c88832cb.jpg


Tatizo la timu kunikimbia kwenye multiplayer nkiwapiga kuanzia tatu wananikimbia napewa ushindi wa mezani.
 
Mkuu inabidi kwanza u root simu yako kisha weka lucky patcher then fuata vema maelekezo ya jamaa pale juu.
Mi sasa hivi kosi langu wote ni GOLDEN BOYS
Mimi naamini nitafanya kazi bila kucheat coins japo players wangu hawajafika level ya golden boys lakini mziki wao ni kwere record zangu ni matata sana
 

Attachments

  • 1496645751523.png
    1496645751523.png
    80.1 KB · Views: 53
  • 1496645765461.png
    1496645765461.png
    74 KB · Views: 66
47432977459be41d9e62065e27d352c3.jpg
Mie hapa bila kucheat coins. ,kikosi changu cha kawaida mnoooo ,nilifuata kila hatua nikaishia kufuta games .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom