Marashaaa95
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 848
- 724
Nalipata wapi vipi ni online au Offline? Lipo Google au play store?NIMESHA ACHANA NA DLS SASA NIPO NA REAL GAME ,NJOEN HUKU NAKO KUNARAHA ZAKE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo ni mvua ni maweeee?????[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]NIMESHA ACHANA NA DLS SASA NIPO NA REAL GAME ,NJOEN HUKU NAKO KUNARAHA ZAKE
Offline ,PES 2017 HLOONalipata wapi vipi ni online au Offline? Lipo Google au play store?
VP makubwa sana nn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo ni mvua ni maweeee?????[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sanaaaaaa utadhani mvua za kichawi[emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji89] [emoji89] [emoji89] [emoji88] [emoji88]VP makubwa sana nn
Haya bhna,umeshafanikiwa kucheat DLS?Sanaaaaaa utadhani mvua za kichawi[emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji89] [emoji89] [emoji89] [emoji88] [emoji88]
Lina ukubwa ganiNIMESHA ACHANA NA DLS SASA NIPO NA REAL GAME ,NJOEN HUKU NAKO KUNARAHA ZAKE
Nmeahirisha mkuu,kucheza bila kucheat sometimes kuna raha yake,spirit ya kucheza kwa morality inakuwepoHaya bhna,umeshafanikiwa kucheat DLS?
Hao wachezaji ambao wapo kwenye Gold Background wanakuwa na tofauti gani na wengine wenye white background?Cheki Macoin ya Kumwaga.
![]()
Naomba link na mkuu au maelezo nalipata wapi, msaada wako tafadhaliOffline ,PES 2017 HLOO
Nenda play storeNaomba link na mkuu au maelezo nalipata wapi, msaada wako tafadhali
Sawa mkuuNenda play store
Hizi ni baadhi ya rekodi mpya vikombe nimechukua vyote pamoja na kuifunga timu yangu ila nilivuruga kikosi wakachanganyana vyema then mimi nikakipanga upya baada ya mechi kuanzaMara baada ya ku update game toka ile ya 2016 to 2017 sasa naona raha imeongezeka zaidi, kuna changes nyingi kwenye hii version mpya mfano kuchagua logo na nimeona unaweza kuangalia matangazo bila kikomo kuliko ilivyokuwa mwanzo kuna wadau nawatafuta tucheze online ili iwe challenge zaidi
Mimi kila rekodi nimewekaa hukoHizi ni baadhi ya rekodi mpya vikombe nimechukua vyote pamoja na kuifunga timu yangu ila nilivuruga kikosi wakachanganyana vyema then mimi nikakipanga upya baada ya mechi kuanza
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] speed, techniques n.kHao wachezaji ambao wapo kwenye Gold Background wanakuwa na tofauti gani na wengine wenye white background?
Sawa kabisa mkuu wa kazi,Mimi kila rekodi nimewekaa huko
Ngoja tusubiri DLS 18 tuone litakuajeee