shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,210
- 10,619
Mwanaume!Dah napata kitu hapa,hapo nani anapaswa msikiliza mwezie??
Mwanaume!Dah napata kitu hapa,hapo nani anapaswa msikiliza mwezie??
Ogopa sana mwanamke aanze kusema anataka talaka iyo ndoa ilishakufa mda sana iyo ni sababu tu hizi jinsia sijui hua zinawaza nini pumbavu kabisaKuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Anangoja nini kanuni ni moja akikubali kuacha kufanya kazi ni mke wake km hajakubaliana nae atoe talaka amuache akaendelee na maisha mengineKuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Sisi atuitaji pesa kivip?Kuna viashiria ninaviona pia, mwanamke akiwa ananyanyasika anaonekana tu hata mawazo yake mengi ni kujitetea.....wanawake wanaweza kuigiza sana ila kwenye ishu ya pesa hawawezi sababu wanahitaji sana pesa kuliko sisi.
Azania front 2005 mkuu achatu miezi miwili ananletea cheusi chekunduDah
Aysee una nguvu sana.....ulikuwa umemuoa??
Na kwenye vikao vya wanawake huyo mama huwa anaandika notes kabisa big up to herHapo mke yupo sahihi sio? Anataka kujiondoa kwenye manyanyaso
Huwezi kumlinda mtu mzima mwenye meno 30Jamaa anamjua mkewe tabia zake uwenda anamlinda
Haya mambo huwa sielewi, kwamba huwa kuna kuombana ruhusa za kufanya kazi?Kuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Mume hataki mkewe aende kazini sababu anajua tabia za mkeweHaya mambo huwa sielewi, kwamba huwa kuna kuombana ruhusa za kufanya kazi?
Na mume akikataa anakufungia ndani huwezi kwenda kusign mkataba wako wa ajira ukaanza kwenda kazini, au inakuwaje kuwaje?
Anakaaga siti ya mbele sio? She is 28Na kwenye vikao vya wanawake huyo mama huwa anaandika notes kabisa big up to her
YeapHadi leo kuna kupangiana maisha kiasi hiki? Hapo kapewa taarifa sio kuombwa ruhusa
Hahaha kidg ulambe loloAzania front 2005 mkuu achatu miezi miwili ananletea cheusi chekundu
Deal done mwanamke kasepaOgopa sana mwanamke aanze kusema anataka talaka iyo ndoa ilishakufa mda sana iyo ni sababu tu hizi jinsia sijui hua zinawaza nini pumbavu kabisa
Kwahiyo kama hamuamini si amuache, inawezekana mwanaume ndiyo malaya na anafikiria mkewe naye atafanya ujinga kama wake.Mume hataki mkewe aende kazini sababu anajua tabia za mkewe
🤣😅Wana umri gani?
Ingawa tunajua huyo mume ni wewe
Washukuriwe wazazi WA binti kwa kumlea vizuri,Big up to her!!!,nimefurahi kwa maamuzi ya binti🤩🤩🤩🤩🤩🤩Deal done mwanamke kasepa
Ana akili na ni muelewa, wanaume wengi hawahudumii wake zao, yaan wao wakishahakikisha kuna chakula ndani watoto watakula na wakalipa bills zingine baaaasi, kuhusu mke a aa aaaa hawajui hata chupi zao zinauzwaje ila michepuko wanahudumia vizuriiii na wanapenda michepuko yao ifanye kazi sio wake zao ili wapate nafasi nzuri za kuwanyanyasa na kuwadharau ndaniAnakaaga siti ya mbele sio? She is 28