Aomba talaka kisa kapata kazi

Aomba talaka kisa kapata kazi

Ni ukweli halisi dada
Kuna watu wako kwenye ndoa ila wanayopitia ni zaidi ya single mothers, waume zao hawawahudumii, afya zao za wasiwasi kutokana na tabia za waume zao, wanaume nao hawataki wake zao wapate kipato hata wacahangie kununua nyanya ndani
 
Kabla ya kuona makubaliqno yalikuwa nini?
Mwambie kama anamzuia kufanya kazi basi kilq mwisho wa mwezi ampe mshahara ambao angeupata kazini.
Watu wanatafuta mitaji ili wakezao wawafungulie biashara
Watu wanahangaika kuwasomesha wake zao ili baadae wapate kazi
Jitu linamzuia mkewe kufanya kazi,
Ninahisi wenyewe uhusiano wao ulikuwa unashake hatua ya kuomba talaka ni kubwa sana kuna mwanasiasa mwanamke alipata ubunge ndoa yake ikafa sasa nasikia anajuta baada ya kipindi cha ubunge kufika tamati huu msemo ni nyeti sana NDOA NA IHESHIMIWE NS WATU WOTE.
hakuna sababu yeyote ya kuharibu ndoa lakini mfumo wa udikteta bila kupeana nafasi na uhuru +haki si sawa pia mke anatqkiwa awe mpole asiwe na kiburi kuna namna ya kushughukia hoja sio kuomba talaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom