Aomba talaka kisa kapata kazi

Aomba talaka kisa kapata kazi

Kuna kesi ngumu kidogo hapa.

Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.

Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.

Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Ameshamzalisha??
 
Na mkipata mtoto usisahau kutembea eneo lake la kazi kuona Mtoto anafanana na Nani hapo ndani..
Tatu Begani.
 
Kuna kesi ngumu kidogo hapa.

Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.

Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.

Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Wewe wamekutuma ulete mgogoro wao jf au kiherehere chako kipo juu ?
 
Mm.mwanamke alinifata naomba TUACHANE NKAMPA MSAADA kila alipoenda tumefika Baraza anahojiwa ANASEMA bado anampenda MUMEWE

Nkajibu mm Sina IMANI nae Tena na siwezi kuishi nae Tena na nishamwachia kila kitu CHANGU

Akahisi comedy

NXTY tutakutana maratatu nkasimama na MSIMAMO wangu

Tukafika mahakamani ANAKUJA na nduguze angalia anaomba shetani alimptiaaa akakutana na MADADA wakichaga masisters weweee mwachieni kakayetu afe kwa. Mapenzi ya MUNGU

Nkaulizwaaa mahakamani nkawaonba TUACHANE na Sina IMANI anaweza niua

Miezi kadhaa ya jarambaa hakimu akasema kwa kweli mpaka sasa hamna means ya kuelewana na tukiendelea kulazinisha hii NDOAA mnaweza kumalizinaaa

Akaulizwa unakunywa nkajibu ndio akaulizwa angalia NKAMWAMBIA anakunywa vizuri tu

Wazee WA Baraza wakasema tuyamalize kila mtu achapelapa

HAkuamini miezi kadhaa anapiga simu ANAKUJA nilipo namkwepa Bahama ACHA tu

Nkabadil namba za simu ikawa pona Yangu

Akaja kusikia na watoto na familia

Aalipopata namba sijui akapiga usiku NKAMPA bibie mpya akaomba usipige Tena dada nimelala na mume wangu pls

Ykaishia HAPO

Imagine na mie ningekuwa na ujinga kama wake tuelewane...kesho mnakaa wapi mliosambaza wanaachana

Ndoaa

Konyoooo kabisa
 
Dah

Aysee una nguvu sana.....ulikuwa umemuoa??
 
Hilo ni swala la kukaa na kukubaliana wala halihitaji watu kutalikiana.

Saa ingine waeza huyo jamaa ako anachojua kukifanya kwa mke wake wakati hana kazi ni kumlisha tu.
 
Hilo ni swala la kukaa na kukubaliana wala halihitaji watu kutalikiana.

Saa ingine waeza huyo jamaa ako anachojua kukifanya kwa mke wake ni kumlisha tu.
Mtaniii!!
Kukubaliana nini? Mke apewe talaka, kuna maisha nje ya ndoa.
Uhuru wa kiuchumi ni muhimu kuliko ndoa.

Au wee unasemajee? 😂😂😂😂😂
 
Itakuwa alikuwa anateswa sana....
Kupata kazi kwa mke mna watoto wawili ni baraka, hata mume atapata muda wa kuchepuka.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom