Aomba talaka kisa kapata kazi

Aomba talaka kisa kapata kazi

Yeye ampe tu hiyo Talaka. Mwanamke ambaye ulimuoa akiwa hajaolewa akija kupata kazi, atakucadilikiwa sio kawaida. Kwanza anaonekana anapenda kazi kiasi kwamba kwa gharama yoyote atatoa ikiwemo yeye kuliwa atunze kibarua. Mpatie Talaka yake
Hili limekuwa ndio kauli ya jamaa kuwa mkewe ataliwa tu huko sababu anajua tabia zake
 
Sister hood, motherhood even firewood and every hood is proud of her….!! 😹😹😹
Aache kufanyia kazi career yake aendekeze poumbou jero 🤣
 
Kuna kesi ngumu kidogo hapa.

Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.

Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.

Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Mimi niliombwa talaka kisa nimemzuia asiende harusini wakati keshapaka makeup na Zaidi ya miaka hiyo.!

Vumilia kidogo mkuu, Hawa Wakina mwajuma ndala ndefu wanaakili kama za marehemu bibi zao
 
Mimi niliombwa talaka kisa nimemzuia asiende harusini wakati keshapaka makeup na Zaidi ya miaka hiyo.!

Vumilia kidogo mkuu, Hawa Wakina mwajuma ndala ndefu wanaakili kama za marehemu bibi zao
Hahahahha ko alilia ndani sio? Ila mwisho wa siku alikaa kimya ndani
 
Kwishaaaaa
Mpaka kufikia hatua ya kutafuta kazi kimyakimya tayari mwanamke kashaona red flag kwa mumewe,kitendo cha mume kumkatalia asifanye kazi ni udhihirisho tosha kama mume ni tatizo,!
Za kuambiwa changanya na zako!! bidada atajua mwenyewe!!!
 
Dah napata kitu hapa,hapo nani anapaswa msikiliza mwezie??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom