Aomba talaka kisa kapata kazi

Aomba talaka kisa kapata kazi

Ampe TU!

Wanawake wanajua WWanachokitafuta Kwa sisi wanaume!lakini sisi ni vigum kujua kwanini waliamua kuishi na sisi Hadi pale malengo yanapotimia!!!

Ukiona ameanza kusema TUACHANE TUACHANE,NENDA TU UNIACHE NA WANANGU!MARA WEWE KWANI KITU GANI WEWE!!

Ukianza kuona haha kwenye majibizano ya hasira!go just go brother move on!your not a hero anymore!
Kuna sehemu nilisoma kuwa "Mwanamke kukubali kuwa chini ya mwanaume ni kwasababu kuna kitu anakitafutaila akiona kuwa unamchelewesha au alivhotegemea hakiwezi tokea basi huanzisha varangati ili aachane na wewe"

Hivyo team KATAA NDOA wakiona hiii inshu watakuwa wametufunga 10 - 2
 
Kuna kesi ngumu kidogo hapa.

Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.

Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.

Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Asimpe talaka kwanza, amwache ajitegemee kwa muda hata wa mwaka mmoja tu
 
Nimeamua kwenda na Toyota Runx mkuu kesho namaliza hela yao.....
Hapo safi mkuu...
Mwambie jamaa amwache aende tu, tena shukuru keshapewa warning mapema, maana akitaka abaki atapata tabu zaidi, ila kuna jambo kwanini mkewe aseme hivyo or may be amenyanyasika sana akawa anatafuta uhuru wa kiuchumi.
 
Nahisi huyu mwanaume ni wewe, uko insecure sana; ni mtu mjinga tu anaye control mke km remote.
Mwache mke afanye kazi, mimi binafsi siwezi kaa na mwaname asiye na kazi.
 
Yes inaweza kuwa alikuwa hapati kile alichokuwa anataka kwa muda sahihi au labda jamaa ni muongo muongo tu, sina hakika sana ila najua mwanamke akitaka uhuru kiuchumi jua ndani kuna mapovu
 
Nahisi huyu mwanaume ni wewe, uko insecure sana; ni mtu mjinga tu anaye control mke km remote.
Mwache mke afanye kazi, mimi binafsi siwezi kaa na mwaname asiye na kazi.
Umejuaje kama ni mimi? Please hii isiwe direct pointing....binafsi siwezi ruhusu mke wangu kuwa mfanyakazi ikiwa inauwezo wa kumfungulia biashara na akafanya sawasawa na ofisini huko.

Nitamruhusu kufanyakazi ikiwa sina cha kumpatia zaidi ya mahitaji ya kawaida...nieleweke kuwa sina nia ya kumzuia kufanya kazi awe golikipa tu HAPANA
 
Yes inaweza kuwa alikuwa hapati kile alichokuwa anataka kwa muda sahihi au labda jamaa ni muongo muongo tu, sina hakika sana ila najua mwanamke akitaka uhuru kiuchumi jua ndani kuna mapovu
Rafiki yako atakuwa na mabaya yake kwenye masuala ya fedha maana baadhi yetu tunataka watutegemee ila deep down tuko very negative, nahisi anamnyanyasa sana sio bure mkuu. Unajua sisi baadhi huwa hatuwezi waambia rafiki zetu kama tunawatesa wake zetu hilo ni gumu sana.
 
Kuna viashiria ninaviona pia, mwanamke akiwa ananyanyasika anaonekana tu hata mawazo yake mengi ni kujitetea.....wanawake wanaweza kuigiza sana ila kwenye ishu ya pesa hawawezi sababu wanahitaji sana pesa kuliko sisi.
 
Ampe talaka chap sana.

Mwanaume ana pesa kiasi gani hadi hataki mkewe afanye kazi?
Asije kuwa mwanaume mwenye maisha ya kuungaunga tu,halafu anataka kumfungia mkewe ndani kama boksa.
 
Ampe talaka chap sana.

Mwanaume ana pesa kiasi gani hadi hataki mkewe afanye kazi?
Asije kuwa mwanaume mwenye maisha ya kuungaunga tu,halafu anataka kumfungia mkewe ndani kama boksa.
Yupo na uchumi wa kawaida tu ila anatimiza mahitaji yake kama kawaida, mwanamke anataka kumsaidia mwana makujukumu ila mwana hataki mke wake atoke aende kutafuta nje akiwa na akili kuwa ATAPARAMIWA
 
Yupo na uchumi wa kawaida tu ila anatimiza mahitaji yake kama kawaida, mwanamke anataka kumsaidia mwana makujukumu ila mwana hataki mke wake atoke aende kutafuta nje akiwa na akili kuwa ATAPARAMIWA
Mjinga huyo jamaa kama kutombew@ hata hapo home kwake mkewe anaweza kuliwa kama kawaida.

Kufanya kazi kuna faida nyingi ikiwemo afya ya akili na furaha ya moyo.
Hakuna kitu kizuri kama mtu awe KE au ME afanye kazi na kupata kipato chake halali.
 
Yeye ampe tu hiyo Talaka. Mwanamke ambaye ulimuoa akiwa hajaajiriwa akija kupata kazi, atakucadilikiwa sio kawaida. Kwanza anaonekana anapenda kazi kiasi kwamba kwa gharama yoyote atatoa ikiwemo yeye kuliwa atunze kibarua. Mpatie Talaka yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom