Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 9,293
- 12,875
Aende ila kila ijumaa awe nyumbani kwa mumewe.
Asipompa atapewa yeye baada ya kufanyiwa vitimbi vyote. Mwanamke akishasema hataki kuwa na wewe usipoteze muda kumshauri kwani tayari ameshaamua ndani ni suala la muda ataenda zake.Kuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Mpe talaka tu akafanye kaziKuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Kuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi.
Mwanamke anaruhusiwa kufanya kazi, aachiwe kufanya kazi.Kuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
MKuu, biashara ni kazi sawa na kazi zingine ila unavyooneka unataka kuheshimiwa si kwa social responsibility as a husband ila kwa economical power.Umejuaje kama ni mimi? Please hii isiwe direct pointing....binafsi siwezi ruhusu mke wangu kuwa mfanyakazi ikiwa inauwezo wa kumfungulia biashara na akafanya sawasawa na ofisini huko.
Nitamruhusu kufanyakazi ikiwa sina cha kumpatia zaidi ya mahitaji ya kawaida...nieleweke kuwa sina nia ya kumzuia kufanya kazi awe golikipa
UhakikaHivi mtu ahangaike kusoma miaka 17+ halafu umkateze kufanya kazi? Ukimkuta mwanamke amesoma kubalianeni kuhusu mambo ya ajira mapema kabla ya kuoana. Vinginevyo hata mimi ningechagua kazi over hiyo ndoa +utakuwa ulikuwa unamnyanyasa.
Kama hutaki mke atakayeajiriwa chagua ambao hawajasoma
Umenena vyema sana mkuu infact sio mimi mhusikaMKuu, biashara ni kazi sawa na kazi zingine ila unavyooneka unataka kuheshimiwa si kwa social responsibility as a husband ila kwa economical power.
Una taka utoe approval kila kitu cha mkeo, hiyo ni micromanagement
Mtu mzima hachungwi, tabia ya mtu ni sawa na ngozi yake, kamwe haibadiliki, utafanya cosmetics tu but uhalisia utabaki km ulivyo.
Ndiyo maana wanaume tunakufa mapema kwa kujilimbikiza matatizo na majukumu yanayoepukika.
Acha mke afanye kazi bana, iwe biashara au kuajiriwa, yaani mtu mna miaka 9, huyo hata wivu ushaisha mshabaki kuwa life partners, interest kubwa si mapenzi yenu tu bali ustawi wa kizazi chenu.
Sio mimi kakaHuyo ni wewe mkuu! Pole maamuz ni yako na mke ni wako
Kaka asante kwa mawazo mazuri nimezingatia ila mimi sio mhusika, hii hata yeye anaisomaAsipompa atapewa yeye baada ya kufanyiwa vitimbi vyote. Mwanamke akishasema hataki kuwa na wewe usipoteze muda kumshauri kwani tayari ameshaamua ndani ni suala la muda ataenda zake.
Wanaume tafuteni amani na furaha ya mioyo yenu kwanza vingine viwe vya ziada. Mwanaume hakikisha haya:
1. Unakula vizuri
2. Unavaa vizuri
3. Unafanya mazoezi
4. Unapata muda wa kushiriki burudani na starehe nyingine za afya
5. Unakuwa na akiba benki,simu na vitega uchumi vingine kibao
Mengine ONGEZA wewe
NB
MWANAMKE AKIKUPENDA HAWEZI KUTAMKA TALAKA AU KUACHANA KWASABABU YOYOTE ILE
UhakikaAende ila kila ijumaa awe nyumbani kwa mumewe.
Ni ukweli halisi dadaAna akili na ni muelewa, wanaume wengi hawahudumii wake zao, yaan wao wakishahakikisha kuna chakula ndani watoto watakula na wakalipa bills zingine baaaasi, kuhusu mke a aa aaaa hawajui hata chupi zao zinauzwaje ila michepuko wanahudumia vizuriiii na wanapenda michepuko yao ifanye kazi sio wake zao ili wapate nafasi nzuri za kuwanyanyasa na kuwadharau ndani
Ameshakubali mke kufanya kazi ila ndio hivyo kishingo upandeKama alikua anamsimanga kwa pesa na kumfanyia ubahili imekula kwake. Talaka ataitoa tu
Nayeye amekuja kusoma comment kaona malalamiko yenuAmeshakubali mke kufanya kazi ila ndio hivyo kishingo upande
Hakika hii ni nzuriAmruhusu afanye kazi ili wasaidiane majukumu ya Familia.
HakikaMke akafanye kazi, na akimsikiliza huyo mume kitakachomkuta baadae asije kulalamika kwenye kikao