Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,427
- 1,061
kwi kwi kwi kwi............zile ni swagga tu!

mmh na kweli mi naamini wengi wako kibiashara zaid,cha maana fuata imani ulozaliwa nayo kama manabii wa uongo tulio ambiwa akili mukichwa msisubiri yesu aje awatajie majina tunao humuhumu duniani.hao wakina kusek... na wengine wanatoa mafundisho mazuri tuyasikilize kama hutaki kumuongezea mavog nyumbani kwake unasepa
uwezi amini kiwatengu mi nililazimishwa niwe muumini wa[the pool of sloam] eti kisa sina mchumba nitapata mchumba nikachoka kabisa watu wana malengo yao msiwaone hivi
Nilizaliwa mkatoliki na ntafia kwenye ukatoliki. I wanna know less about these other mushrooming churches. Kinachoendelea humo anakijua huyo anayejiita nabii, mtume, askofu.
Huo ni utaratibu wake. Usitake unachokifanya wewe na wenzako wafanye kama wewe. Hata wewe unaweza kuanzisha kanisa lako ukaweka utaratibu wa kusali usiku wa manane tu na hakuna atakaehoji..
huyo jamaa mi simkubali kabisa, kuna siku jirani yangu ambaye ni muumini wake alinipitia nikaenda naye kwa huyo jamaa. cha kushangaza wakati wa kutoa sadaka alianza kuita wenye elfu kumi wakaenda mbele akawapa baraka zao, wenye elfu tano wakaenda mbele akawapa baraka zao. wengine wenye hela ndogo akatoa baraka za jumla. Mimi nikabaki nashangaa, nikajisemea kimoyo moyo hakunaga Mungu wa hivyo. Nikaapa sintakanyaga hapo tena. Nitafia ROMA.
narusiwa kukutunza wakati unahubiri? pale pale mbele..

Nihil sub sole novum
Kinachonifurahisha ni wale wanaotoa ushuhuda wa magari wote wachaga
Nilikuwa sehemu muda si mrefu,
Kulikuwa kuna kipindi kwenye runinga showing kipindi cha dini..
Nimeshangaa sana kuona aina ya dini inayofanywa na huyu jamaa!
Mnaoabudu pale huu utaratibu wakumtunza jamaa pale mbele kama
Mpo kwenye shoo za tangwa inakuwaje?
Tuelimishane
...nooo, mimi si mshirika wake lakini, sioni dhambi kumtuza mtu kama moyo wako umefurahi. mbona huko
Ubarikiwe! Ni-pm
waache wanaomtafuta Mungu kwenye madhehebu watasema.