Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

Umeuliza ni mtumishi wa Mungu? Real Christian?
Hiyo ni kama hukumu, unamweka kwenye kipimo ambacho si kazi yako kufanya. Kipimo hicho anajua Mungu pekee anaetumikiwa ndg

Mi sijui kama ni hukumu hiyo
BTW nimeuliza swali sasa wewe uko wise kiasi gani
kuchukulia swali langu kama hukumu?
 
Sijui kama alikuwa nao, ila ninachojua ni kuwa Upako ni udhiirisho wa nguvu ya Mungu kwa watu/mtu.

sasa pastor unanikaribisha kanisani kwako
Huniondolei huu utata, si lazima niwe na mashaka kuwa wewe shida yako ni hii sadaka yangu tu?
 
Mi sijui ila nilichosoma ni "ole wake mtu yule ahukumuye maana naye atahukumiwa"
 
While browsing recently I saw a thread discussing really queer & hilarious names of some (real) new generation churches here in Nigeria. I've reproduced some of them here for your ponderment
cheesy.gif


Here it goes::.

Jesus Of God Mission (Imo State)

God's Mennonite Church

Guided Missiles Church

JESUS IN THE NOW GLOBAL MINISTRY'

Healing Has Begun Ministry

God's Own Ministry

The True Assemblies of God Church (don't want to think of what this implies of the other Assemblies of god we know)

Jehova Sharp Sharp (Festac)

Huricane Miracle Ministry

Healing Tsunami Ministry

Satan in Trouble Ministry

Fire for Fire Ministry

Guided Missiles Church === saw this one myself here in Lagos. My guess is they're affiliated with NATO
cheesy.gif


FIST OF FURY (NTA road, Port Harcourt)

Run For Your Life Ministry === my favorite!
cheesy.gif
cheesy.gif
cheesy.gif


Here's the sign for Run for your life chapel

The Yoke Must Broke Ministry
grin.gif
grin.gif
grin.gif


Jesus Heal Ministry

Face to face ministry

Angels on Fire Chapel of Peace

Liquid Fire Ministries (Suleja, Niger State)

By fire By Fire Ministry

HOLYFIRE OVERFLOW MINISTRIES

David Killed Goliath Ministry (Kaduna)

House of Jehova's Padawans (TransAmadi, PH)

JESUS IN HIS MIGHTINESS GLOBAL MINISTRY

OPM - Other people's money (PH)

God in action ministries

Moving mountain gospel church

MY BROTHER IS A CHRISTIAN CHURCH OF GOD

Fellowship of the Wings - Ajah (Lamgasa)

Power Foundation Ministries, Aba. === The pastor's maiden crusade was titled: "Your Money is Looking For You"
cheesy.gif
cheesy.gif
cheesy.gif


HOLY GHOST ON FIRE MINISTRY (Abuja)

HIGH TENSION MINISTRY

JESUS NEVER bleep UP MINISTRY (Benin) === for those of you who don't get the meaning, replace the word bleep in this one with the err, the "F" word
cheesy.gif


Devil go hear am Jesus Ministry

Accredited Church of God

Chukwudi & Son evangelical ministry, Aba === (Igbo man no dey carry last!)
cheesy.gif


Power pass power church of the mountain ministry incorporated

Ministry Of The Unclad Wire - Bayelsa State

LABORATORY CHURCH OF GOD

And here's the sign for Laboratory Church of God

Go and tell Ahab that Elijah is here ministries - Benin

God is Real Ministry.
Motto: "Jesus no get muscle but he get power"
cheesy.gif


Fire burn ministries

JESUS THE LANDLORD, WE THE RELAXING PEW MINISTRY - Port harcourt

Happy Go Lucky Church of God Almighty In Jesus Name Amen - Abeokuta

Old time religion ministry

Strong Hand of God ministry

Best Spot In The Land of God Church - Apapa.

Trigger happy ministry. Motto- always firing the devil

KASABUBU CHURCH OF GOD - Ibadan

Jesus knows his children ministry - Benin

SEVEN THUNDERS OF JESUS

Perfect Christianity Ministry

Elshaddai Shall Not Die Ministries

Elshaddai shall not die ministries , pls note Powered by, lolz





nadhani kanisa lake ni moja kati ya haya
 
Msishuhudie vitu ambavyo hamna uhakika navyo.....hukumu iii juu yenu.
 
Wengi wanaochangia hapa
ni mafarisayo na masadukayo,wamejihesabia haki na wanasimama mahali pa
mwenye kuhukumu!bila shaka hawajui kumteta mtumishi wa Mungu ni
kujitakia laana isiyo na sababu,sijui wamekosa kitu cha kujadili!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Cha msingi ni kusubiri siku ya mwisho ambapo Yesu atazitenga kondoo na mbuzi. Mbuzi zitajulikana tu tusihukumu tusije tukahukumiwa
 
Msishuhudie vitu ambavyo hamna uhakika navyo.....hukumu iii juu yenu.

Unataka kuwa na uhakika kwa kiasi gani?
Kwani TV inaonyesha uongo? Tena kipindi chenyewe kilikuwa Chanel 10..
Na mimi hakuna sehemu niliyohukumu katika maelezo yangu...
 
Tofauti ya makanisa kilokole na virabu vya pombe ni musalaba kwenye jengo, ndomana sikuhizi wanapiga disco na kuita disco la yesu, Yesu aliimba na wanafunziwake ktk mlima wa Getiseman lakini hakucheza, Roho mtakatifu anaonekana kwenye TV?.(majanga)
 
Msishuhudie vitu ambavyo hamna uhakika navyo.....hukumu iii juu yenu.

acha ujinga Biblia inasema kariapia na kuonya, makanisa yasigeuzwe majumba ya biashara, Yesu alisokota kamba akapindua meza za kina Lusekelo
 
Cha msingi ni kusubiri siku ya mwisho ambapo Yesu atazitenga kondoo na mbuzi. Mbuzi zitajulikana tu tusihukumu tusije tukahukumiwa

wewe kama kondoo utaulizwa ulizisaidiaje mbuzi?, usikimbie kuonya kama YONA
 
imani ni kitu cha ajabu sana na hatari kama utalipokea vibaya, mtu anae kupa elimu ya dini nawe ukamuamini ujue kesha kugeuza we robot anakupeleka atakavyo (kumbuka Kibwetele)
 
Watoe tu wewe inakuuma mimi?kamari mbona watu hutoa,ulevi,uzinzi na uasherati je?
Acha watoe
 
Mbaya kama analazimisha watu wanyanyuke na kumtunza, lakini kama watu wanaamua wenyewe kuna tatizo gani hapo??, Mbona kwenye Twanga, Taarabu na wakina Diamond mnawatunza!!Kutunza kanisani ndio issue kubwa saaana?
 
Mbaya kama analazimisha watu wanyanyuke na kumtunza, lakini kama watu wanaamua wenyewe kuna tatizo gani hapo??, Mbona kwenye Twanga, Taarabu na wakina Diamond mnawatunza!!Kutunza kanisani ndio issue kubwa saaana?

another shit!!
 
Back
Top Bottom