Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,317
- 2,880
sasa pastor unanikaribisha kanisani kwako
Huniondolei huu utata, si lazima niwe na mashaka kuwa wewe shida yako ni hii sadaka yangu tu?
Nimekujibu kwa jinsi ninavyofahamu, ya kuwa Upako anao Mungu ila unadhiilika kwa mtu/watu kwa namna anavyotaka Mungu mwenyewe.
Kuhusu kuwepo kwa Manabii/Watumishi wa uongo hilo halipingiki, wapo na wataendelea kuwepo kwa maana kila alilolisema Yesu halinabudi kutukia.
Namshukuru Mungu ya kuwa tutaendelea kuihubiri Injili.