nimeuliza utaratibu wakupeleka pesa mbele wakati wakufundisha uko vp?
YOUR universe!!!Quran..only holy book existing on universe!!
Na wewe ni nabii?
Quran..only holy book existing on universe!!
sadaka shillingi ngapi?
ni utaratibu wa mtu kujisikia kutoa kwani amewaomba ni baada ya kunogewa unajikuna mwenyewe , mfano raisi akikutembelea uta kataa kwamba asije kwangu ? . ila tu kila mtu ana mbwembwe zake kama anavyopenda akipokea hela anaitazama kwanza labda anaipa hiyo hela baraka fulani na kuchunguza wasije wakampa bomu likamlipukiaHiyo kitu hata mimi huwa inanishangaza sana, kama ni kumpa pesa, basi wangekuwa wanatoa katika sadaka au kma wanataka kumpa yeye direct wangesubir ibada iishe wakampe kwa nafasi.
Nachoka zaid napomuona mtu anapompa ela na yeye anaiangalia kwanza ndio anaweka mfukoni(sasa sijui anataka awe ana note kuwa fulan kanpa sh ngap) utaratibu wake kwa kweli sio, na siku ikitokea anahubiri alafu asipokee hata senti, sijui kama neno litaendelee, sababu kashazoea mkono mmoja unashika mic na mwingine unapokea noti noti tu
samahani mkuu!! Kuwa mpole ndugu yangu..
narusiwa kukutunza wakati unahubiri? pale pale mbele..
Hana shaka mkuu, si unajua huu ni mwezi mtukufu? Yatupasa tujikite zaidi kwenye kufundishana kuliko kubishana.
Vile vile tuonyeshane ushirikiano, maana muda siyo mrefu nilikuwa na Ustadhi Omari tukipata Futari, huo ndiyo ushirikiano.
Kumbe na kanisani anayepewa ni kaisari??
narusiwa kukutunza wakati unahubiri? pale pale mbele..