Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,490
Reaction score
18,386
Nilikuwa sehemu muda si mrefu,
Kulikuwa kuna kipindi kwenye runinga showing kipindi cha dini..

Nimeshangaa sana kuona aina ya dini inayofanywa na huyu jamaa!

Mnaoabudu pale huu utaratibu wakumtunza jamaa pale mbele kama
Mpo kwenye shoo za tangwa inakuwaje?
Tuelimishane
 
na Anaita watu wanatoa ushuhuda kuwa wamenunua magari kwa sababu walikuja kanisani kwake!
 
Utaratibu gani tena mkuu? Utaratibu ndio huo yani unanyanyuka kwenye kiti unaenda mbele kumpa kaisar kilichochake kisha unarudi kukaa usibirie miti yako izae hela.

unaruhusiwa kusimama katikati ya mafundisho na kupeleka pesa mikononi mwake! what is this men!!
wafundishwaji wataelewa nini na mfundishaji concentration yake lazima iwaze nani analeta tena! badala ya kuendelea na somo..
 
Utaratibu gani tena mkuu? Utaratibu ndio huo yani unanyanyuka kwenye kiti unaenda mbele kumpa kaisar kilichochake kisha unarudi kukaa usibirie miti yako izae hela.

Kumbe na kanisani anayepewa ni kaisari??
 
Wajinga ndo waliwao!
...nooo, mimi si mshirika wake lakini, sioni dhambi kumtuza mtu kama moyo wako umefurahi. mbona huko kwenye disco mnatoa au na huko ni wajinga..? anyway mtazamo mpana kwanini mkiambiwa kupeleka mbuzi kuku na hata kitu cha thamani kwa waganga/wachawi wa kienyeji mnatii bila maswali, je si zaidi kuwapa watumishi wa Mungu....???!!
 
Nilikuwa sehemu muda si mrefu,
Kulikuwa kuna kipindi kwenye runinga showing kipindi cha dini..

Nimeshangaa sana kuona aina ya dini inayofanywa na huyu jamaa!

Mnaoabudu pale huu utaratibu wakumtunza jamaa pale mbele kama
Mpo kwenye shoo za tangwa inakuwaje?
Tuelimishane

Hiyo kitu hata mimi huwa inanishangaza sana, kama ni kumpa pesa, basi wangekuwa wanatoa katika sadaka au kma wanataka kumpa yeye direct wangesubir ibada iishe wakampe kwa nafasi.
Nachoka zaid napomuona mtu anapompa ela na yeye anaiangalia kwanza ndio anaweka mfukoni(sasa sijui anataka awe ana note kuwa fulan kanpa sh ngap) utaratibu wake kwa kweli sio, na siku ikitokea anahubiri alafu asipokee hata senti, sijui kama neno litaendelee, sababu kashazoea mkono mmoja unashika mic na mwingine unapokea noti noti tu
 
Back
Top Bottom