Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

hizi ni siku za mwisho'kila msafiri wa mbinguni amepewa hekima na maarifa jinsi ya kuishi na kuabudu'tumia hiyo akili ndiyo utajua
 
Tatizo unachanganya mambo ya ngoma na mambo ya kanisani. Kanisani huwa hawatunzi, bali huwa wanabariki. Nikiwa nafundisha, na ukajisikia kunibariki au kutoa sadaka ni ruksa kwasababu umeamua mwenyewe wala sijakuomba.

kukubariki tena?
kumbe naweza kuchukua hadi nafasi ya Mungu kwa kukupa Pesa?
 
Toeni sehemu moja ya kumi ya kila kitu unachokipata, toa sadaka za malimbuko, sadaka za Ihari, sadaka za shukrani ili nyumbani mwa Bwana (Mungu) kiwemo chakula cha kutosha.
Toa sadaka bwana watumishi tuna mahitaji mengi.

Nyie mnatoa nini?I mean nyie kama watumish mnatoa nin?achen kupotosha watu wa mungu kwa mahubir ya fungu la kumi,hata Yesu aliye bwana na mwalimu wetu hakusisitiza katika kutoa sadaka ya namna afanyavyo Lusekelo!hamumuhubiri Kristo mfufuka bali mnahubiri yaliyo yenu,kumbukeni dunia tunapita,Mungu wako anakuona na huwez kumdanganya!kumbuka imeandikwa ni faida gani kwa mtu akiupata ulimwengu wote na akaipoteza nafsi yake?
 
Nilikuwa sehemu muda si mrefu,
Kulikuwa kuna kipindi kwenye runinga showing kipindi cha dini..

Nimeshangaa sana kuona aina ya dini inayofanywa na huyu jamaa!

Mnaoabudu pale huu utaratibu wakumtunza jamaa pale mbele kama
Mpo kwenye shoo za tangwa inakuwaje?
Tuelimishane

Huo ni utaratibu wake. Usitake unachokifanya wewe na wenzako wafanye kama wewe. Hata wewe unaweza kuanzisha kanisa lako ukaweka utaratibu wa kusali usiku wa manane tu na hakuna atakaehoji..
 
Ebwana huko kwenu ni maeneo gani?

Panda gari za Nachingwea, Masasi, Newala au Tunduru! afu shukia kituo kinaitwa Mtama Nitauja kukuchua tufuturu wote mkuu hapa kwetu Likolombe! wilaya Tandahimba..
 
Huo ni utaratibu wake. Usitake unachokifanya wewe na wenzako wafanye kama wewe. Hata wewe unaweza kuanzisha kanisa lako ukaweka utaratibu wa kusali usiku wa manane tu na hakuna atakaehoji..

Kuuliza si ujinga! ebo
 
Kuna siku aliwaambia," wote nyie mlikuja mnanuka vyumbi, na wigi zinepauka, sa iv mnang'aa", cha ajabu nikashangaa wakimshangilia.
 
Panda gari za Nachingwea, Masasi, Newala au Tunduru! afu shukia kituo kinaitwa Mtama Nitauja kukuchua tufuturu wote mkuu hapa kwetu Likolombe! wilaya Tandahimba..

Ebwana nikifika maeneo hayo nitaku PM, si unajua futari inatakiwa iwe ya ukweli, magimbi magimbi viazi vitamu, pembeni kuna tambi.
 
Nyie mnatoa nini?I mean nyie kama watumish mnatoa nin?achen kupotosha watu wa mungu kwa mahubir ya fungu la kumi,hata Yesu aliye bwana na mwalimu wetu hakusisitiza katika kutoa sadaka ya namna afanyavyo Lusekelo!hamumuhubiri Kristo mfufuka bali mnahubiri yaliyo yenu,kumbukeni dunia tunapita,Mungu wako anakuona na huwez kumdanganya!kumbuka imeandikwa ni faida gani kwa mtu akiupata ulimwengu wote na akaipoteza nafsi yake?

Mkuu fungu la kumi au Zaka na sisi tunatoa.
 
mimi ni mkristo lakin dini nyingine zinashangaza waumin masikin.mchumgaj.nabii ni matajiri wakubwa uku awafany kazi.biblia inasema siku za mwisho watakuja manabii wa uongo na wataponya kwa jina la yesu kumbe wana nguvu nyingine imejificha.
 
ni mpaka nini? na wale wote niliyowaona kwenye tv wanapakwa?

Mkuu Bible ina msamihati wake ambao kwa mtu wa upanda wa pili ni vigumu kuuelewa.
Ukitaka kujua ubaridi wa maji jitose humo humo kwenye maji, acha kuyapima kwa kidole. Karibu upokee upako.
 
kukubariki tena?
kumbe naweza kuchukua hadi nafasi ya Mungu kwa kukupa Pesa?

Mkuu usishangae, Mungu amempa mwanadamu hayo mamlaka. Kumbuka alimwambia Islael (Yakobo).... Atakaye kubariki nitambariki na atakaye kulaani nitamlaani.
 
Nilikuwa sehemu muda si mrefu,
Kulikuwa kuna kipindi kwenye runinga showing kipindi cha dini..

Nimeshangaa sana kuona aina ya dini inayofanywa na huyu jamaa!

Mnaoabudu pale huu utaratibu wakumtunza jamaa pale mbele kama
Mpo kwenye shoo za tangwa inakuwaje?
Tuelimishane

Utandawazi umeingia mpaka makanisani
 
Hakika nyakati hizi za mwisho tutaona mengi
 
Kuna siku aliwaambia," wote nyie mlikuja mnanuka vyumbi, na wigi zinepauka, sa iv mnang'aa", cha ajabu nikashangaa wakimshangilia.

hahahaha mshikaji wangu hapo umeua..

Kuna jamaa anasema huyu mshikaji anajiona bora kina TB Joshua kwake
cha mtoto..hahahahahahaha
 
Mkuu usishangae, Mungu amempa mwanadamu hayo mamlaka. Kumbuka alimwambia Islael (Yakobo).... Atakaye kubariki nitambariki na atakaye kulaani nitamlaani.

Hivi kina yakobo nao walikuwa na upako kama hawa kina Msekelo?
 
nani aliyehukumu? mr. wise!

Umeuliza ni mtumishi wa Mungu? Real Christian?
Hiyo ni kama hukumu, unamweka kwenye kipimo ambacho si kazi yako kufanya. Kipimo hicho anajua Mungu pekee anaetumikiwa ndg
 
Back
Top Bottom