Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

Antony Lusekelo; Ni mtu wa Mungu? real Christian?

Nilizaliwa mkatoliki na ntafia kwenye ukatoliki. I wanna know less about these other mushrooming churches. Kinachoendelea humo anakijua huyo anayejiita nabii, mtume, askofu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Usijifungie kwenye nira ya mapokeo
Just explore the universe, has got lots to learn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanaochangia hapa ni mafarisayo na masadukayo,wamejihesabia haki na wanasimama mahali pa mwenye kuhukumu!bila shaka hawajui kumteta mtumishi wa Mungu ni kujitakia laana isiyo na sababu,sijui wamekosa kitu cha kujadili!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Acha kuwa brain washed
Jenga hoja usikimbilie kutishia laana watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilizaliwa mkatoliki na ntafia kwenye ukatoliki. I wanna know less about these other mushrooming churches. Kinachoendelea humo anakijua huyo anayejiita nabii, mtume, askofu.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
katoriki ndiko ushetani umejaa huko usijifariji
 
nimeuliza utaratibu wakupeleka pesa mbele wakati wakufundisha uko vp?
Mkuu Sina hakika, ila Labda niseme kwa Experience, Kama mtu ameguswa, yaan amefanya hivyo kwa msukumo wa Ndani sidhani kama kuna tatizo, Ila kama ni Msukumo wa Mtumish, au Msukumo wa Nje hapo inaweza kuwa ni tatizo.

Personally sio kwenye ibada tu au kwa watumish tu, Most of time nikienda kwenye Makongamano, kisha mtu Akatiririka Vitu ambavyo ni vipya kwangu na vimenijenga; Mara nyingi(sio zote) huwa najisikia msukumo ndani yangu kumzawadia Msemaji huyo.
Nakumbuka kwenye Kongamano Moja lilifanyika AICC Arusha, nilimzawadia Profesa Mmmoja Kutoka SUA, Tsh 20000(Elfu 20) Mara baada ya Kongamano kuisha tu(Nilimzawadia Private/ sio kwenye public), maana alitiririka Nondo zilizonijenga. Akataka kuikataa nikamwambia hiyo ni sada yangu kwa Mungu na sio kwako; Akasema sijawahi kukutana na kitu kama hichi, yeye anajua ni kanisani tu;
Aliomba Number zangu, Baada ya Mwaka Mmoja na miezi minne, Siku moja alinipigia simu niende kwenye church yao, niende nikazungumze kwenye Changizo la Ujenzi wa kanisa lao; Kwa nilichokifanya anaamini naweza kufanya Hivyo; Nikamwambia sio muongeaji maalum, ila nitafanya hivyo, kwa Upendo; I remember nilijaziwa mafuta ya Gari nikaenda, nilipofika Nikapokelewa vizuri, nikapelekwa mahali waliponiandalia, Baada ya kufanya kilichonipeleka, nilipewa some amount of cash yaan kama pocket money, kisha nikapelekwa kwenye kituo cha mafuta na kujaziwa mafuta tena tayari kwa kurudi.

NOTE: Ni vizuri, sana unapofanya jambo lolote kwa mtu yeyote lifanye kwa Upendo, Upendo Ndio Ukusukume kufanya unachofanya then mambo mengine yafuate baadae; Ukifanya mambo kwa msukumo tofauti na Upendo hata kama utafanikiwa kwa Macho ya kawaida, ila there is something important you will be Lack.
 
Back
Top Bottom