Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,548
- 40,740
Weka pichaUshaanza kutoa unabii
Kifo ni kifo muache baba wa watu apumzike. Ameacha mke mweupe peeee na watoto wake warembooooo kweli weupe peee kama shombe shombe na Mali kibao.

Amenikosea kiukweli. Hope atapumzika kwa amaniNdye mkuu
Kifo ni kifo tuHabarini wanajamvi,
Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi.
Kesho Moshi inasimama... Wachaga hawana Dogo boss amelala.
Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe
View attachment 3452588View attachment 3452587
Bado alikuwa na miaka 7 ya kula utumishi vizuri tu! Pole kwa wafiwaUkishafikisha 50 sio young
😂😂😂😂😂Wamzike haraka, asije fufuka bure.. 🙂
Sio kwa jumaApumzike kwa amani
Alishiriki kikotooo cha sasa hivi??Habarini wanajamvi,
Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi.
Kesho Moshi inasimama... Wachaga hawana Dogo boss amelala.
Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe
View attachment 3452588View attachment 3452587
Subirii mirathiiii kama hajaandikaaa aisee acha tuu wanatesekaga sana watotooUshaanza kutoa unabii
Kifo ni kifo muache baba wa watu apumzike. Ameacha mke mweupe peeee na watoto wake warembooooo kweli weupe peee kama shombe shombe na Mali kibao.
WACHAGA TUHESHIMIWEHabarini wanajamvi,
Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi.
Kesho Moshi inasimama... Wachaga hawana Dogo boss amelala.
Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe
View attachment 3452588View attachment 3452587
Daah aiseee 🤣 🤣...leo nimemsikia CJ naye anakilalamilia kikokotoo kwa majaji...R.i.P Classmate...😥
Sema ulizingua sana kwenye issue ya kikokotoo..😶
Wewe inakuhusu nini wakirudi kwenye umasikini? Mbona wabunge na viongozi wengine hawako kwenye kikokotoo??Hoja ya kikokotoo ilikuwa sahihi watu ambao hamna financial management mkipewa hela yote 1-2 years mnarudi katika umasikini.