TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

Habarini wanajamvi,

Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi.

Kesho Moshi inasimama... Wachaga hawana Dogo boss amelala.

Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe

View attachment 3452588View attachment 3452587
Ooh dear! RIEP Ansigar...
 
M

Mbn km ushabiki tena? Moshi itasimama? Wachaga mmelogwa na nani? Halafu we km mwehu, kwamba kila mtu anamfahamu.
 
Habarini wanajamvi,

Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi.

Kesho Moshi inasimama... Wachaga hawana Dogo boss amelala.

Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe

View attachment 3452588View attachment 3452587
Poleni sana wafiwa.kama umazaliwa na mwanamke siku zako ni chache sana nazo zimajaa taabu.
 
Habarini wanajamvi,

Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi.

Kesho Moshi inasimama... Wachaga hawana Dogo boss amelala.

Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe

View attachment 3452588View attachment 3452587
Alifanya heshima Nyumbani, safi sana, Mungu ampe pumziko jema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom