TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

Habarini wanajamvi,

Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao Uru, Mawela - Moshi.

Kesho Moshi inasimama... Wachaga hawana Dogo boss amelala.

Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe

View attachment 3452588View attachment 3452587
Hivi hawa waanzilishi wa kikokotoo wakati wanajadili na kukipendekeza wao walijua hawata staafu nn!!? Maana kinalalamikiwa kila kona!!. Naona na mwanzilishi kaondoka kabla ya kustaafu utadhani alijua kikokotoo hakimhusu!! Wazee wanalalaamika sana!! Wahusika mjiangalie na hizi laana za wazee wataaafu!! Zitawamaliza.
 
Watakaopambana nacho ni warithi wake sasa... Watapewa mafungu Hadi wakomee...
 
Huyu asingekuwa mme wa mtu angeweza kukustiri 😂😂😂
 
Kaburi ndio mwisho wa kila kitu.
Ujanja mwingi unakufa kibwege tu na harakati zote,, Mwenyezi Mungu anaonyesha ukubwa wake.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan.
 
Ukifikisha miaka 50 ndo utajua kwambo alikuwa bado
Miaka hiyo 53 hasa wanaume wengi watoto wao wakubwa utakuta ndo Hawa wa 95 kuja huku juu na hapo aliwahi kuoa Ila wengi wanaooa miaka 27, kuja 30 wana watoto maybe wapo chuo au ndo tuu fresh graduates,,

Bado mdg duuh
 
Daah aiseee 🤣 🤣...leo nimemsikia CJ naye anakilalamilia kikokotoo kwa majaji...
Na mwambaa ndioo

Muasisi wakee mkuu

Na wajinga wanamshangiliaa kwa ubora wake

Apewe stahili yakee tu huko alipo

Mtuache kuna wazee wamekufa sababu ya hao kakokootototkooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom