TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

Habarini wanajamvi,

Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao uru mawela moshi.
Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiweView attachment 3452588View attachment 3452587
Duh! Jamaa namfahamu. Kumbe ndiye muasisi wa kikotoo? R.I.P comrade. Aliugua nini?
 
Ni yeye boss. Alikuwa mkurugenzi wa issue za Tafiti na takwimu....maoni yake yakafanyiww kazi. Hajaumwa Sana mkuu
Japo ni Siri yake na daktari
 
Tuilaumu bodi iliyopitisha hilo wazo, huyu alikuwa ni mtekelezaji tu.
Sasa kwanini aje na wazo la kuumiza raia maskini? Namjua mstaafu yuko anapigika na kikokotoo akiwa ameparalaizi. Sasa huyu HeLa zake alipaswa apewe azifurahie kwa miaka iliyobaki sasa wanampaje mafungu mafungu...
 
Habarini wanajamvi,

Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao uru mawela moshi.
Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiweView attachment 3452588View attachment 3452587
Sema hawa watu wanakuwaga na shida kwa nini alichagua hiyo rangi ya nyumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom