Bora mke maumivu yanakuwa yako peke yako, sasa kikotooo ni maelfu kwa makumi!!Alikuibia mke?
Ni sawa na askari atumwe na bosi wake afanye moja mbili tatu alafu akatae, unahisi ni nini kitatokea? Kufanya maamuzi magumu itakulazimu uachie nafasi n.k, je ni wangapi wako tayari kwa hilo?Sasa kwanini aje na wazo la kuumiza raia maskini? Namjua mstaafu yuko anapigika na kikokotoo akiwa ameparalaizi. Sasa huyu HeLa zake alipaswa apewe azifurahie kwa miaka iliyobaki sasa wanampaje mafungu mafungu...
Angekuja na wazo lingine baada ya yeye kutumwa akawe creative...Ni sawa na askari atumwe na bosi wake afanye moja mbili tatu alafu akatae, unahisi ni nini kitatokea? Kufanya maamuzi magumu itakulazimu uachie nafasi n.k, je ni wangapi wako tayari kwa hilo?
Uko sahihi, ila kumbuka elimu ya mkoloni hamfanyi mtu kuwa creativeAngekuja na wazo lingine baada ya yeye kutumwa akawe creative...
To die? Yes, too young...Ana u young gan jaman? 1972 had Leo ni young?
Kwa biblical point of view may be...To die? Yes, too young...
Kwa mujibu qa Biblia tulipewa miaka 70 ya kuishi. Yeyote afae kabla ya umri huo bado ni kijana sana. Tena kwa mwanaume hata watoto kama anao atakuwa amewaacha wadogo bado wanamhitaji. Mungu atujalie maisha marefu
Zaburi 90:10:
Miaka ya kuishi ni sabini, au tukiwa wenye afya, themanini; lakini yote ni shida na taabu! Siku zapita mbio, nasi twatoweka mara!
Huyu na Dr Ireen Isaka walikuwa loudspeakers tu, hakuwa wafanya maamuzi.Habarini wanajamvi,
Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao uru mawela moshi.
Kesho Moshi inasimama... Wachaga hawana Dogo boss amelala.
Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiweView attachment 3452588View attachment 3452587