TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

Wamegoma kunipa hela yangu tangu 2017 Hadi Leo...nawaombea ofisi nzima ifariki au ghorofa liwaangukie wafie humo...yaani nilikuwa naweka kwa hiari ila kuchukua nimegomewa😟
 
kumbe ndio engineer wa kikokotoo, basi sawa halafu yeye kakimbilia south kuhangaika na uhai wakati wenzie kawashughulikia kwelikweli duh Mungu huyu fundi sana loh.
 
Aaaah sio mambo yangu hayo, nasikitika watu wanavyofurahia mwenzao kafa,

Pili,hii ni siku ilikuwa ya majonzi kwangu,baba angu kafa tarehe kama hiyo na mwezi huo,hivyo nilikuwa makabulini time hiyo.
Lilikuwa danga Lako nini maana marehem nae wamo
 
Aaaah sio mambo yangu hayo, nasikitika watu wanavyofurahia mwenzao kafa,

Pili,hii ni siku ilikuwa ya majonzi kwangu,baba angu kafa tarehe kama hiyo na mwezi huo,hivyo nilikuwa makabulini time hiyo.
Ooh pole dear
Sema ilikuwa jokes tu kpnz
 
R i.p Mushi,mmojawapo ya wasomi wachache wa Fani ya actuarial science
Atakumbukwa kwa Mengi,r i.p mangi
 
Ushaanza kutoa unabii
Kifo ni kifo muache baba wa watu apumzike. Ameacha mke mweupe peeee na watoto wake warembooooo kweli weupe peee kama shombe shombe na Mali kibao.
Mali kama zote,hilo ghorofa hapo ni la wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom