Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,148
- 7,995
Huwez Baki na laana hizoWatu wanateseka sana na hicho kikotoo na laan wanazotoa wazee wastaafu ni nyingi lazima mtu awajibike.
Huwez Baki na laana hizoWatu wanateseka sana na hicho kikotoo na laan wanazotoa wazee wastaafu ni nyingi lazima mtu awajibike.
Hawa hawakuwa wapishi ila wapakuaji tu.Ila walienda kukipika wapakuaji wakawa wengine
simjui hata, ndo namsikia leoHivi ansgar aliwahi kusaidia kweli mbona alikuwa Kauzu Sana?
Sifurahii kifo, nafurahia hajala mafao yake, huoni ni karma hiyoUsifurahie kifo cha mwenzako maana hata Mungu hafurahii
hawajaingiza hadi leo, na mwezi ulioisha hawakuweka...Pole mstaafu mwenzangu
Juzi nimeenda nssf kudai changu nkakumbana na percent kwa miez 6 nkawa mpolee hata sijaenda bank kuchek wameingiza ngap
Lakini mchango ni Mchango tuYeye ana mchango kwa taifa kwa kutuletea kikokotoo (sjui utaita hasi au chanya)
Hii account ume quote last seen ni 2008hawajaingiza hadi leo, na mwezi ulioisha hawakuweka...
kuna haja ya kuwauliza NSSF wana shida gani...
ni 33.3 percent ya mshahara lakini mwezi wa pili huu hakuna kitu...
Asee, na hawana account nyingine humu?Hii account ume quote last seen ni 2008
Vipi ndugu yako January anaendeleaje?Na kweli watu wanaliaa
LaanaWamzike haraka, asije fufuka bure.. 🙂
LaanaWamzike haraka, asije fufuka bure.. 🙂