TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

Habarini wanajamvi,

Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao uru mawela moshi.
Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiweView attachment 3452588View attachment 3452587
Hata mafao yake hajala maskini😭😭😭
 
Maisha ndivyo yalivyo, ata huko mahospitalini wapo wengine waliofariki ila hawaletwi majukwaani.
 
mbona unataka kunifanya nitoe lugha chafu. Basi apumzike na Kikokotoo kwa amani.

Naye akakokotolewe hivyo hivyo kama alivyowakokotoa wazee wetu
Pole mstaafu mwenzangu
Juzi nimeenda nssf kudai changu nkakumbana na percent kwa miez 6 nkawa mpolee hata sijaenda bank kuchek wameingiza ngap
 
Pole mstaafu mwenzangu
Juzi nimeenda nssf kudai changu nkakumbana na percent kwa miez 6 nkawa mpolee hata sijaenda bank kuchek wameingiza ngap
pole sana! Mimi walinikokotoa short of that ningelikuwana over 2m per month!
 
Ni yeye pia anahusika na mimi kushindwa kutoa pesa yangu NSSF mpaka nifikishe miaka 60 au kuna mwingine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom