Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
We jamaa vipi, yaani unamlinganisha rais wa nchi na mwananchi mmoja?
Lowasa mlinganishe na Fahim Dovutwa au yule chief nani sijui Mutayembe.
 
Ha
kiukweli kwa hoja za kutetea maskini na kuangalia wanyonge magufuli amedrop sana.

bila unafiki jiulize

mikopo vyuo vikuu imeshughulikiwa kama alivosema?

milioni 50 kila kijiji umeziona?

mama ntilie wameheshimiwa?

machinga wameheshimiwa?

bodaboda wamesikilizwa?

wahanga mbalimbali wa natural dister wamehudumiwa?


maisha mtaani yamekuwa poa?

biashara kitaa zimekua?

wazanzibari wanafuraha na situation ilivo?

media zina furaha?

mitandao na sheria zake mnafurahia?

bunge recorded mnachekelea?

matumizi ya fedha zetu bila bunge kubajeti unaona sawa?

aash ninayo mengi.

jiulize mtanange 2020, kiukweli msishangae yahya jammie mwengine[/QUOTE
No one beat president
 
Ukilinganisha idadi ya Watanzania wenye shida walio vijijini na sehemu kubwa ya TZ na Idadi ya wamachinga na kina mama ntilie ni wapi wengi?

Na unavyozani ni wapi msaada ndio unstahili kupelekwa ?

Ninvyo amini ili kuinua uchumi wetu ni muhimu kuangalia mahitaji ya walio wengi na huyu ndiko kwa kuelekeza maendeleo. Machinga ni moja ya ajira lakini serekali lazima iwe na priority .
 
MI nadhani ni mda wa kuexperience kile ambacho Watanzania mlikiomba kwa Mungu mda mrefu sana
Si mlimuona Mstaafu hafai bana, anaspend sana na safari nyingi na nin
Ss huyu anawapa kitu roho yenu ilitaka...4 years to go, better get used to it
 
Mutakubaliana na mimi.

1. Wananchi hawawezi kuhoji serikali
2. Vyama vya siasa kufungiwa mikutano.
3. Uhuru wa habari hakuna
4. Maamuzi ya wananchi haya heshimiwi.
5. Hata ukitaka passport ili uwende unapotaka taka lazima utoe vielelezo vya kutosha.
6. Hatuwezi kuandamana.

Tanganyika inahitajika kupiganiwa uhuru mpya na watu wake
 
Tunywe maji ya kuchemshwa kwa afya zetu.

MTUKUFU WA NCHI ALIYESHUSHIWA UONGOZI NA MUNGU ANATAKA TUANDIKE HIVI MITANDAONI ILI KUSAPOTI NCHI YA VI-WONDER.

Mwl Razaq Mtele Malilo.
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Utajuaje umepotea wakati hujui unakwenda wapi!


Utapoteaje wakati hujui unapokwenda? JPM anayo ilani wewe ulikuwa unazungusha mikono sasa umedandia safari ya watu tuliza kipago uone driver anavyolenga madaraja
Akili ndogo kuchangia maada kubwa zinayo izidi uwezo
 
Hii ni kumkumbusha Rais tunapofunga mwaka kuwa ametamani mnoooo kukimbia, lakini kwa maoni yangu he is only heading for a car crash...Rais huna huruma na watu wako, huna neno la kuwajaza raia wako matumaini zaidi ya kuwasweka magerezani, kuwasimanga na kuwaita majina mabaya, what do you expect Sir? Una nafasi ya kujitafakari, tunaelewa Urais "ulibip tu na simu ikajipokea", hukuwa na salio, ukajikuta unaongea na ulowapigia kwa wasiwasi....sasa basi tumekujazia salio, piga simu ukiwa umetulia, na piga bila shaka ya kuishiwa salio, zungumza kwa utulivu ueleweke, una nafasi ya kutenda vema 2017, nafasi bado unayo...Lakini so far umetaka kukimbia na huna breki, what dyu expect? tragic car crash, bila shaka!
 

Attachments

  • Unataka kukimbia na hauna breki. Darasa muziki.3gp
    185 KB · Views: 20
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom