Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,542
- 7,450
Ukweli kuwa serikali ya kijani imevurugwa na imevurugika,ukijaribu kupitia kwenye mitandao ya kijamii utagundua kuwa wengi wa watumiaji wa mitandao wanaipinga serikali hii kwa misimamo yake mbalimbali ikiwemo hili la kuzuia siasa na kufanya Rafu kwa vyama vingine.
ukweli usio na shaka Rais huyu wa sasa anauchukia sana upinzani licha ya kauli zake kwenye mikutano yake kuonyesha kuwa yeye hana ubaguzi,
nadhani wapinzani pekee anao wapenda ni aina kama ya Mrema na Shibuda wenye kumsifia tu.
kwa sababu ameona anapingwa kila kona hasa zaidi kwenye mitandao ya kijamii nina shaka kuna amri itatoka kuzima mitandao yote usiku wa kuamkia Sept 1.
naona kikwete na udhaifu wake aliipeleka nchi hatua 5 mbele kwa miezi 9 ya mtukufu tumerudi hatua 9 nyuma halafu wafuasi wa kijani na vibwebwe na madera yao wanajisifia.