Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ndio maana mimi huwaona wanachadema wengi ni watu wenye mtindio wa ubongo na ni nyumbu....hahahaha
Mtu anasema nchi haijatulia wakati papo hapo anapata muda wa kupost na kuchati...halafu papo hapo anasema nchi haina uhuru.......
 
Uhuru una maana nyingi kijana
Ujawah kwenda nyumba za waarabu au Wahindi?
Unakuta mwanamke anapewa kila kitu lakin kuna vngine ana limitiwa??
 
Unakosea mkuu kudhani kila mpingaji ni wa Chadema tu, hii inaonesha jinsi gani unavoshikiwa akili, kwamba umekaririshwa hivyo na wewe hujiongezi, hebu tafakari kwa akili yako uone wanachokiona waungwana!!!
Hili bandiko halihusiani na maandamano ya Kimambi, na wala usidhani mawazo ya Kimambi yanawafikiana na ya wote wanaopinga nyenendo za Mtawala huyu...
 
Hofu yangu kwa Huyu Mkuu baada ya Uzinduzi wa Jana baada ya Kulalamika hajapongezwa kwa Uvumbuzi..Sasa Atataka kukaa Madarakani mpaka atimize ahadi zote..kitu ambacho hakiwezi kuwezekana kwa Miaka 10..Inabidi kujiandaa Kisaikolojia
 
Miaka 2 na nusu ya Urais wa Ndg.Magufuli umekuwa na heka heka, kilele imekuwa upotevu wa TZS 1.5 trillion hela za Umma...ni kama tunavyosema mbio za sakafuni huishia Ukingoni....

hakika umgeukie mwumba wake na atubu hima!
 
Watumishi wa umma bado tunadai malimbikizo ya malipo mbali mbali lakini kila siku ni uwongo tu wa hii serikali. Ama kweli kutawaliwa na msukuma kunataka moyo
 
Mkuu IQ yako nahisi hata ya kuku ina afadhali, kwa majibu haya hujui utokako wala uendako! Unajua maana ya DIRA YA NCHI? huwa inatengenezwa na mfumo (uongozi alio madarakani) Shame on you!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…