Jorochere
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 994
- 669
Hapa naona tupo Misri ndio tunajaribu kuvuka bahari ya sham kuelekea kanani....!Naogopa hata kuandika. Inshort hata rais hajui tunaenda wapi...
Hapa naona tupo Misri ndio tunajaribu kuvuka bahari ya sham kuelekea kanani....!Naogopa hata kuandika. Inshort hata rais hajui tunaenda wapi...
Kumbe tunajaribu?Hapa naona tupo Misri ndio tunajaribu kuvuka bahari ya sham kuelekea kanani....!
Bila kutubu hii safar itaishia njianiKumbe tunajaribu?
Madalali waturudishie pesa yetu. Hii product hasara tupo.Tumeingizwa chaka
Nakuunga mkono mkuu...Naogopa hata kuandika. Inshort hata rais hajui tunaenda wapi...
Mna takwimu lakini?Madalali waturudishie pesa yetu. Hii product hasara tupo.
Hivi unadhani hujulikani .unabado mtanyooshwa tuu
Chukua udhaifu wa Kikwete na serikali ya awamu ya nne zidisha mara 3 utapata udhaifu wa Magufuli na serikali ya awamu ya tano
Nawaambieni hamuwezi kuvushwa na kiongozi dhaifu. Miaka mitatu imeisha kukiwa na jitihada kubwa za kuficha udhaifu.
Udhaifu unafichwa kupoka majukumu ya vyombo vingine. Udhaifu umefichwa kwa kupokonya na kujimilikidha bunge.
Udhaifu umefichwa kwa kuzuia watu kuongea,udhaifu umefichwa kwa kutisha kila anayenyanyua mdomo.
Udhaifu wa kudorora kwa mapato umefichwa kwa kunyanganya halmashauri vyanzo vya mapato.
Udhaifu wa kuonyesha kushukwa kwa uchumi umefichwa na kutishia kwenye sheria ya Takwimu.
Udhaifu wa kujua mambo ya kimataifa na huko mambele umefichwa kwa kisingizio ya rais hapendi kwenda nje kuokoa gharama
Udhaifu wa kukosolewa umefichwa........namlilia Tundu Lissu.
Hapo Ndo nashindwa kuwaelewa wanasiasa. Tuliaminishwa kikwete dhaifu kuliko mtu yeyote tz leo hii tunaambiwa kuna mtu dhaifu mara saba yake. Naenda zimbabwe
Kweli hawa wafilisti wameminywa sana. Hawana la kufanya ni kilio tu, na bado naona dozi kamili haijaanza. Hongera awamu ya tano.Kama ni dhaifu si mfanye basi ubadhirifu mliokuwa mmezoea kufanya enzi za Kikwete? Uzi wenyewe unaonesha jinsi mnavyolia na kusaga meno! Pole.
Jibu hoja wewe umeona maandamno a bunge live tu??Hivi ukiulizwa msingi wa hii pumba yako sio ajabu ukajibu ni kuzuia maandamano na bunge live hapo ndio huwa nawakubali Nyumbu kwenye ufahamu.
Mashairi ya mfa maji!!!!Chukua udhaifu wa Kikwete na serikali ya awamu ya nne zidisha mara 3 utapata udhaifu wa Magufuli na serikali ya awamu ya tano