Kabla ya utawala wa JK ilikuwa hivyo afisa cardet pale TMA walikuwa wanahitimu kwa nyota moja (luteni usu) ila kwa taarifa nilizozipata kutoka ndani ya chombo, wakati wa rais JK alitoa ofa yeye kama amiri jeshi mkuu wale wa degree wapewe mawe mawili on spot i.e. moja akiitoa yeye kama amiri jeshi.
Lakini kwa kuwa ametoka (raisi JK) nahic utaratibu wa zamani waweza kurudi, kwa kawaida watapewa moja (wote watakuwa luteni usu) hawa cardet? alafu wa degree watatunukiwa ya pili baada ya muda fulani kuwa ma luteni kamili.