Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

hivi mtu mwenye akili timamu unataka kwenda jkt ili iweje kule kila kitu wazi afande ukiambiwa kula mavi wewe jibu wazi afande, kusema kweli jkt ni kupoteza muda kwanza jkt haitoi ajira lazima ujue hilo. una kaa jkt two yrs tehen unakosa ajira c utoto huo
Tatizo umekalilishwa, Kwanza kuna amri halali na ambazo sio halali, pia watoa amri na wakufunzi wana akili timamu so kila linalofanywa na kutendewa ni katika kukutoa uraia na kukutengeneza askari, hawajali hali Jeshini,
pia hizo mnazo danganyan mtaani nyingi hazina ukweli.....kuna watu wamepiga kitabu hatari.
 
kwenye msafara wa mamba na kenge wamo isitoshe wewe ni kenge usiye jielewa
wabongo tumezoea kuchagua second chance kama ualimu,ukulima,nurse,jeshi yaani maisha yakitupiga ndo tunaamua second chance kama hizo. sasa siku hizi hizo second chance nazo zote zimekuwa dili zinagombaniwa kama almasi. zamani mkiambiwa nenda jeshi unasema vita au halina faida. vijana msikate tamaa mapema hivyo siku hizi hizo ajira ni ngumu zaidi ya gangsta
 
Sawa jkt hawaajiri ili vyombo vingine vya ulinzi na usalama hufanya usaili na huchukua wale waliofaulu usaili wao mfano police,magereza,jwtz,tanapa,uhamiaji n.k.
NB:Ajira utapata ila ndio utasota sana yahitaji uvumilivu na uzalendo katika kazi za watu[/QU
you guy i think u got my point..vizuri sana ila umesahau kuwaambia kuwa wakikosa ajira wasijeleta maandano ya kwenda magogoni. maana hujikuta tayari wameshakuwa wajeda wakati hata mafunzo ya uprivate hawana
 
Vijana wenzangu mnaotaka kwenda kulitumikia Taifa kama Mimi msikatishwe Tamaa na Watu , mzigo unatema April 16 Hvo tuwe tyr Tu
 
Usikatshe watu tamaa sasa mtu kukaa mtaani awe mvuta bangi au kwenda jkt akasote akiskilzia wanaotoa ajira kipi bora??hayo mawazo yako ni kazi ya shetan kemea sana ...tena uwe unafkiria kabla ya kutamka....acha wenye mahtaj waende ww ambae hutak poteza muda lala nyumban familia ako itakupa ajira
 
Asante sana Mkuu, ujumbe umeshamfikia.
 
yaani kusema ukweli jkt ni kujitoa mhanga maisha yako kijana mwangaikaji hawez kwenda jkt. utapoteza mda bure lazima tuambizane ukweli mm mwenyew nmesoma shule ya jeshi nalifahamu jeshi na nina marafiki zangu waliokosa ajira jeshini sasa hivi wapo uraiani bora mm nilikataa kwenda mapema nikaamua kujiajiri mwenyewew so now nakula pensheni yangu ya kukataa jkt
Who are you to say what is right or wrong for others? Who gave you the power to say that?

Are you God or what?

# keep your negative feelings to yourself #
 
Naona uko mstari wa mbele mura, najua kabila hilo na jeshi ni kama samaki na maji.
Haaaa Haaaa Yeke Mura cc hiyo ndo kazi pekee kwa wanaume mi Nina Bachelor degree ya Philosophy with education kutoka Saut - Mwanza Campus but ningependa Mungu anisaidie niingie huko Ualimu duu huko ntaenda Tu Mambo yakigoma.
 
Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa Major General mmoja (jina kapuni) muda wowote kuanzia mwez wa tatu mzigo utatema.

Vjana anzeni kusaka mibuyu mapema mui set hasa wale wenye degree na diploma wanaotaka kuingia, nafac huwa ni chache. Ukisubiri zitoke ndo uanze michakato utaishia kuzickia kwenye bomba.
 
Mkuu , Leo hii Ni kwamba '' No matter what you know but whom you vile vile hakuna Technical know how but there's technical know whom, watu wamejipanga Kaka.
 
Haaaa Haaaa Yeke Mura cc hiyo ndo kazi pekee kwa wanaume mi Nina Bachelor degree ya Philosophy with education kutoka Saut - Mwanza Campus but ningependa Mungu anisaidie niingie huko Ualimu duu huko ntaenda Tu Mambo yakigoma.
Aisee we jamaa chuo mate wangu. Nimepiga hapo SAUT pia
 
Back
Top Bottom