Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Mhhhhh vijana taratibu hayo mambo msikate tamaa wenye sifa mtaenda kufanya kazi za watu
 
Mzigo unaweza kushushwa Leo eti mbona kama Sielewi Kule kwa Website!!! I wish iwe hivo.
 
Mzigo unaweza kushushwa Leo eti mbona kama Sielewi Kule kwa Website!!! I wish iwe hivo.
Ukitoka mwezi wa 3 ina maana kureport si mwez wa 7-8? Maana leo wakitangaza sasa watakaa siku kadhaa ili watume wasajili, bado majina kuchujwa n.k
Mwaka Juzi walitoa Nafasi Mwezi wa 12 ila usaili ukaanza mwezi wa pili, na kambini ikawa mwezi wa 6.
 
''Mwaka jana walitoa nafasi Juzi walitoa Nafasi Mwezi wa 12 ila usaili ukaanza mwezi wa pili, na kambini ikawa mwezi wa 6. ''

Fafanua vizuri mkuu mbona naona kama Kuna Utata vile kwenye Sentence hii .
 
''Mwaka jana walitoa nafasi Juzi walitoa Nafasi Mwezi wa 12 ila usaili ukaanza mwezi wa pili, na kambini ikawa mwezi wa 6. ''

Fafanua vizuri mkuu mbona naona kama Kuna Utata vile kwenye Sentence hii .
Nimeedit, soma tena.
 
''Mwaka jana walitoa nafasi Juzi walitoa Nafasi Mwezi wa 12 ila usaili ukaanza mwezi wa pili, na kambini ikawa mwezi wa 6. ''

Fafanua vizuri mkuu mbona naona kama Kuna Utata vile kwenye Sentence hii .
Kwan kunakuwaga na tofauti gan ya muda, baada ya kutangaza nafasi mpaka kufikia zoezi la usahiri?
 
JKT wamefunga website yao kwa muda, nahic watakuwa wanaweka tangazo la nafasi ya kujiunga mwaka 2016

Ngoja tuone kitatokea mimi mura tata
 
Nafasi zikishatangazwa huwa kuna timu inatumwa mikoani wakishirikiana na washauri wa mgambo wa wilaya na mikoa husika. Hapo kuna interview ukishapita ndio unapewa fomu, baada ya hapo fomu zinarudi makao makuu then wanapanga sasa kambi za kuwapeleka. Kwa mlolongo huo ndio maana zoezi huchukua miezi zaidi ya mitatu yaani kuanzia nafasi kutangazwa mpaka kuripoti makambini. Ukishapewa fomu maana yake umepita interview so wangojea kupangwa tu.. Wish you luck amigos
 
Back
Top Bottom