Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

habar jamani.napenda kujua mwenye kufahamu fununu za nafasi za jkt huenda zikatoka lini na utaratibu wa kujiunga hua unakua vipi?
naombi msaada ili nijue maana natamani sana nami nikajifunze uzalendo wa taifa langu.
 
Ni swali ambalo wanajiuliza watu wengi... na thread nyingi zipo humu zinajadili hilo swali lako na mpaka leo jibu halijapatikana!!!
 
Mtu asie na malengo pekee ndio ataenda huko labda kama wataka kuwa mlinzi wa SumaJKT
 
Back
Top Bottom