Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

TMA nafac huwa zinatoka kwa wenye vigezo, kwa hiyo ukikidhi vigezo tu hakuna wa kukuzuia. Ishu ni kuingia jwtz. Lakni ukishaingia kule na una kidhi hakuna wa kukuletea mizengwe labda ukashindwe mwenyewe kule.
Kuna mtu anasema kuna watu wana master na bachelor hawajawahi tia mguu TMA. Na hasa kwasababu ya technical reasons, kwamba, unakuta mtu ana miaka 27 wakati anaomba kwenda uko kwa mara ya kwanza. Sasa ikitokea amekosa, alfu ikatokea intake ijayo ametimiza miaka 28. Basi ndoto ya TMA inakua imekwenda na maji. Vipi kuhusu ili?
 
Kuna mwanajeshi yuko Lugalo ni mtu mzima kabisa nadhani saiv ana kama 40 na kitu ivi, na amekwenda TMA ndo kala jiwe zake 2. Hiyo nyingine sina uhakika. Ila navyofahamu proffesion jeshini kikomo ni 35yrs.
 
Na jambo la msingi katika taasisi za ki serikali ujuzi huwa kigezo cha cheo bila kujalisha umri wako.
 
K
Kuna sehem umesema kuingia Jwtz ndo kikwazo. Kwani kuna kikwazo gan kuingia Jwtz?
Changamoto zipo kubwa mbili: ya kwanza ni nafac ya kuingia jkt hasa kwa watu wenye proffesions, ya pili ni kutoka jkt kwenda jwtz. Hii ya pili co kubwa sana kama ya kwanza maana waweza kuta nafac 3 tu za degree katika wilaya.
 
Shefwa nakuelewa Sana Tata Mura weitu Kana Mimi Tata Nina Bachelor degree moja kigezo cha umri niko Sawa kabisa vipi mkuu si ntapata japo MUJINI FITINA
Hahahahaa mkuu Makanya pambana kwanza upate nafac alafu mengine yatakuja huko huko. Jeshi liko in need sana na wasomi. Nahic ni moja kati ya taasisi zenye wasomi wachache. Kama unavyojua dunia saiv imebadilika kila kitu kinapelekwa kisomi. Uking'ang'ania ukale utabaki nyuma.

Na kwa dunia ya sasa hakuna taasisi nyeti inayohitaji shule kama jeshi maana jeshi ndo kila kitu katika usalama wa nchi.

Na ndio maana wale wazee wetu wanatukazia kwa kujua tutakwenda kuwa staafisha kilazima.
 
Sawa Kaka Naomba Unipm kwa Inbox yangu.
 
Back
Top Bottom