Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Kelele nyingi,wakiingia jeshini wanaishia kwenye vikundi vya ngoma na digrii zao za Civics.
Duuu Brother umeniona Mimi maana mi Nina Degree ya Sanaa na Muziki huko kwenye Ngoma patabamba Sana Kama Mungu akijalia nkaingia .
 
Wakuu samahan eti kuna umuhimu gan wakuwa na ujuzi then ukajiunga jeshi mfano diploma ya Information technology

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Sawa ndug mhe lakn at least nijue japo kdogo coz watu tunajiuliza hatupat majib

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom