Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Yaani IT hujui advantages zake ndani ya Jeshi? Hii kweli kazi.

kwa style hii na ww utashindwa hata hayo maswali ya interview...mwenzio kauliza swali na ww unajibu kwa kuuliza swali

jibu swali mkuu acha mbwembwe
 
Nisaidieni jaman ndg zang
Mura Mungu Baba atakusaidia utapata kama hujaisoma kasome sasa upata sifa ya Elimu yako Husika then ndo utaomba nafasi ya Kuingia j.k.t After hapo ndo Mzigo WA JWTZ ukija utapga Usaili na kwenda kukaza tena afu mwisho WA siku utatusua .
 
Ndio cjui mkuu kwasabab ndo nataka nianze kuisoma kozi hii

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
I have seen no one responding to the core part of your question. All of 'em having been beating around the bush.

Well IT expatriates have a bigger role to play in the army
- To protect and secure all of the army's networks and communication lines and systems against all possible threats ( ie cyber attacks ) from any angle of the world
- To control and monitor all radar systems that are under the army
- To operate digits or technological weapons or vessels at the army's disposal

I hope I have been able to quench your thirsty, in the name of knowledge, I say," come back for more"
 
Well . Therefore that Man must send you some cash since you well gave him a useful orientating knowledge about the Usage of I.T in the Army, so he has began the course already.
 
hahaha dah mimi nimebaki kucheka nilipomwona mjeda leo naye anaulizia jina la mdogo wake limepitishwa? mshauri wa mgambo kamwambia watu wengi na wameomba 900 huku darasa la saba wakiwa 300. Pia alisema wanahitaji shahada na stashahada watu 8 me 5 na ke 3,Ameenda mbali na kusema wengi wameliwa vichwa(shahada sababu wengi hawana cheti/la saba). Amemaliza kwa kusema kesho mbivu na mbichi saa sita kamili mchana kwa waombaji wote hivyo kaka/dada tukutane viwanja vya grand hall(Mwanza wilaya ya Nyamagana) N:B (Favour haikosi kuna jamaa ana miaka 29 mwingine 24 hivyo wakampitisha wa 29 wa 24 bado umri unaruhusu kusugua benchi)
 
Mujini Fitina Dada kumbe Mwanza
 
figisu figisu za mjini acha hakuna sijui je..shi ndo wanafundisha nidhamu wakati ndo njia za panya kibao bora nibaki na nidhamu yangu mtaani huku sio nidhamu ya lazima mkuu.
 
Back
Top Bottom