Anayejua habari za JKT

Unajua kwanini huwa mnapewa test za kukimbia na kusukuma ardhi!?

Wanahitajika watu ambao ni fit naturally na wenye utayari.. Ila sio lazima wote mkidhi vigezo.
Ni kweli ukifeli mara moja kadet huwezi kwenda tena?
 
Nimewaona watu wamebeba vyeti hadi kwenye matololi,wengine wameshikiwa hadi na ndugu zao kisa JKT.Ningekuwa na mamlaka katika kuchagua wenye sifa ningeanza na mgambo kwa kuwa na uzalendo tena wakuzaliwa.Hawa wenye vyeti vya HGL wangeenda kufa na ualimu mashuleni.vituko kwenye zoezi la kukimbia .watu mapovu yanawatoka hawajawahi kukimbia wa wanajua kuchat tu.
 
figisu figisu za mjini acha hakuna sijui je..shi ndo wanafundisha nidhamu wakati ndo njia za panya kibao bora nibaki na nidhamu yangu mtaani huku sio nidhamu ya lazima mkuu.

sitosahau siku ya jana nimevaa suti yangu safi kwenda kuulizia habari za mwendelezo baaada ya kuchaguliwa wilayani nakuta kumbe ndio siku ya mchakamchaka nakuta watu wamekaa chini!!!!, kumbe ndo na mimi inabidi niungane nao nikatoa koti pembeni mchakamchaka hadi kirumba zoezi la mchujo likaanza bahati nzuri nikapita kwa ajili ya vipimo kesho saa hizi naitwa wa suti. Tuombeane ndugu hii mwanza,nyamagana.
 
Back
Top Bottom