Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

We kama hukuzaliwa dar.....itakua ngum kupata nafasi ....labda kama unacheza rafu...... Hizi nafasi zinatoka kila mkoa ila wazawa waombe sasa wewe unatokea kasulu afu unaombea dar matokeo yake ni nini?..... Itakua kama mkulima kapanda maindi na anataka avune mpunga!!!! Jamani ushauri wangu rudini kwenu muombe nafasi tena mtazipata bila kugusa mifuko..,.. Nyote mking'ang'ania dar mtaumia wala si utani
 
Hapana Mkuu! Hivi unajua ni wangapi wanazaliwa Dar na asili yao sio wa Dar? Hizi nafasi hazinngalii umezaliwa wapi, labda wakufanyie figisu ili kunusuru nafasi za watu wao wa karibu ila hamna uhusiano wowote ule kati ya mkoa uliozaliwa na unapoombea ndo maana hata kwenye vigezo haijaorodheshwa
 
Kweli hawajasema kwenye vigezo lakini kwenye utendaji wanafuata ivyo wakati mwingine
 
We kama hukuzaliwa dar.....itakua ngum kupata nafasi ....labda kama unacheza rafu...... Hizi nafasi zinatoka kila mkoa ila wazawa waombe sasa wewe unatokea kasulu afu unaombea dar matokeo yake ni nini?..... Itakua kama mkulima kapanda maindi na anataka avune mpunga!!!! Jamani ushauri wangu rudini kwenu muombe nafasi tena mtazipata bila kugusa mifuko..,.. Nyote mking'ang'ania dar mtaumia wala si utani

ni kweli mkuu inavyoonesha sasahivi makao makuu wanabana sana because kuna mshkaj kaenda wilaya nyingine ila ndan ya huo huo mkoa ila wamembania wamemwambia aende kutuma maombi katika wilaya aliyozaliwa.
 
Hapana Mkuu! Hivi unajua ni wangapi wanazaliwa Dar na asili yao sio wa Dar? Hizi nafasi hazinngalii umezaliwa wapi, labda wakufanyie figisu ili kunusuru nafasi za watu wao wa karibu ila hamna uhusiano wowote ule kati ya mkoa uliozaliwa na unapoombea ndo maana hata kwenye vigezo haijaorodheshwa

Mkuu sasahivi wanabana sana licha ya hapo dar hata huku mikoani.
 
jamani km mwenye taarifa kuhusu wilaya ya ilala tunaenda lini atujuze tupo pemben mwa mji
 
na kwa mwenye tarifa kwa ambao wameshaenda tayar kinondon na temeke ni watu wangap wanachukuliwa na kwa upande wa dploma na digrii idadi ipoje
 
Back
Top Bottom