Luo
Senior Member
- Jan 19, 2012
- 139
- 92
sitosahau siku ya jana nimevaa suti yangu safi kwenda kuulizia habari za mwendelezo baaada ya kuchaguliwa wilayani nakuta kumbe ndio siku ya mchakamchaka nakuta watu wamekaa chini!!!!, kumbe ndo na mimi inabidi niungane nao nikatoa koti pembeni mchakamchaka hadi kirumba zoezi la mchujo likaanza bahati nzuri nikapita kwa ajili ya vipimo kesho saa hizi naitwa wa suti. Tuombeane ndugu hii mwanza,nyamagana.
