Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Nafikili Inshu ya kupeleka maombi mpaka usaili inachukuaga mwezi mmoja.. sijui mwaka huu kuripoti itakua mwezi wa ngapi
 
Nafikili Inshu ya kupeleka maombi mpaka usaili inachukuaga mwezi mmoja.. sijui mwaka huu kuripoti itakua mwezi wa ngapi
Kureport lazima iwe miezi ya sita mwishoni au wa saba mwanzoni tu. Maana vijana wa mujibu wa kiadto cha sita, lazima wa wahi kupiga kozi kwa muda mfupi wa miezi mitatu, ili waweze maliza mapema na waweze kuwahi kujiunga na elimu ya vyuo vikuu mapema, mwezi wa 9. Lazima mda wa uzingatiwe
 
Dah! ndoto yangu imepotea, umri umenitupa mkono, miaka yangu 31 ni bora ningejiunga kabla sijaenda chuo, mtakao fanikiwa jengeni moyo wa uzalendo wa kweli kwa jeshi letu.
Tumombe Mungu Sana maana bado hata sisi tuna safari ndefu mpaka Kufikia kutoboa
 
kwa upande wangu... bado sijaomba kwetu tangazo linatoka wiiki hii... naomba kujua waungwana ukiandika ndo unapewa form ya kujiunga? yaaani sijaelewa kuhusu barua na upatikanaji wa form
 
nimetoka kusikia hilo tangazo mda huu kupitia clouds radio....jaman mi cjaelewa utaratbu wa maombi mwenye kujua zaid anijuze jinsi maombi yanavyofanyika!!... shukrn
 
naomba kujuzwa ...kwa sasa nna umri wa miaka 23 na ifikapo mwez wa 6 tarhe za mwazon nafkisha miaka 24..kiwango cha elimu form 4...je nitakubalika kwel kwa kigezo chao cha umri mwisho 23 wa form 4s!!
 
naomba kujuzwa ...kwa sasa nna umri wa miaka 23 na ifikapo mwez wa 6 tarhe za mwazon nafkisha miaka 24..kiwango cha elimu form 4...je nitakubalika kwel kwa kigezo chao cha umri mwisho 23 wa form 4s!!
Utakubalika, peleka maombi.
 
Back
Top Bottom