Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Nafasi zmeshatoka nimetoka ofisi ya mkuu wa mkoa kwa mshauri wa mgambo nenden mkapate maelekezo nn cha kufanya kuanzia j3 deadline tarehe 15 mwezi huu..all the best wote
 
daaaaa nimeuliza wilaya x (mshauri wa mgambo W) nimeambiwa bado hawana taarifa kutoka mkoa X...... Pia nimeuliza Wilaya z mkoa Z nimeambiwa mwisho ilikua tarehe 28 mwez wa 3..............yaaaan naisi nimeishiwa Dam
Duuuu Pole Sana.
 
hivi wanajf hizi taarifa kua nafasi zakujiunga na jkt ni za kweli?

maana leo nimeenda kuonana na katibu tawala wa wilaya moja hapa jijini kaniambia hizo nafasi bado hazijatolewa na wenyewe kama wilaya hawajapata taarifa yoyote kuhusiana na hii issue ya JKT.
 
Nafasi zmeshatoka nimetoka ofisi ya mkuu wa mkoa kwa mshauri wa mgambo nenden mkapate maelekezo nn cha kufanya kuanzia j3 deadline tarehe 15 mwezi huu..all the best wote
Mkoa upi na wilaya ipi?
 
daaaaa nimeuliza wilaya x (mshauri wa mgambo W) nimeambiwa bado hawana taarifa kutoka mkoa X...... Pia nimeuliza Wilaya z mkoa Z nimeambiwa mwisho ilikua tarehe 28 mwez wa 3..............yaaaan naisi nimeishiwa Dam
Weka wazi ni mkoa gani mkuu.
 
daaaaa nimeuliza wilaya x (mshauri wa mgambo W) nimeambiwa bado hawana taarifa kutoka mkoa X...... Pia nimeuliza Wilaya z mkoa Z nimeambiwa mwisho ilikua tarehe 28 mwez wa 3..............yaaaan naisi nimeishiwa Dam
Mkoa upi huo ambao nafasi zilitoka mwez wa Tatu? Pole Sana mkuu
 
USHAURI:nenden wilayan kuna ofisi za mshauri wa mgambo ndo hao wenye hzo taarifa tena ni wakalimu unaelekezwa mpk nn cha kufanya ..mm nmeelekezwa mpk na barua inahtajka iweje na huyo mshauri wa mgambo hapo wilayan so tufanye hvyo ndugu zangu ...alaf ni kwel kuna baadhi ya mikoa na wikaya zao nafasi bado hawajatolewa so tuwe wavumilvu
 
Format yq barua ya maombi hyo hapo ila hapo kwenye duara juu kulia ni anuani yako unaetuma
 
Attachments

  • 1460134715087.jpg
    1460134715087.jpg
    228.7 KB · Views: 39
ANYWANI YAKO

MKUUWA WILAYA
WILAYA..........
SLP.....
MKOA.......

K.K.
MTENDAJI KATA
KATA YA.........
SLP.........
MKOA.........

K.K
MTENDAJI MTAA
MTAA........
SLP.......
MKOA.....
TAREHE.........

YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT.

BARUA YENYEWE
 
U killed it nice
 
Guys For Sure Hakuna Social media Kama JF '' Live Long.
. Naipenda JF Miaka Mia Nane.
 
Back
Top Bottom