Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,284
Itajulikana mbele Kwa Mbele .Nasikia cha la 7 wanazingua, sijui kina umuhimu gani huko JKT.
Itajulikana mbele Kwa Mbele .Nasikia cha la 7 wanazingua, sijui kina umuhimu gani huko JKT.
Na wewe hauna?Itajulikana mbele Kwa Mbele .
Brother Nina Full CV kuanzia P/School Certificate mpk Gigi la University na Makando kando ya Mengine kama vile Lesseni ya Udereva na Computer Certificate, Labda Isiwe Bahati yangu Tu Kulitumikia Taifa Langu kupitia hiyo Kada.Na wewe hauna?
Niko Full kakaNa wewe hauna?
Shkamoo!Brother Nina Full CV kuanzia P/School Certificate mpk Gigi la University na Makando kando ya Mengine kama vile Lesseni ya Udereva na Computer Certificate, Labda Isiwe Bahati yangu Tu Kulitumikia Taifa Langu kupitia hiyo Kada.
Haaa Haaa , Unazingua Kaka.Shkamoo!
Daaah, aiseeee. Safari ni ndefu sana.Niwaambie ukweli ndugu zangu kuna mambo pia ya nje ya uwanja ambayo ni mbinu mkakati za kupata nafasi sijui mmejipangaje? maana hata ukiona nafasi ni 70 jua kua 40 zina wenyewe tayari..! huu ni ukweli nimeamua tu niwadokeze
Mie cna ila mwaka jana niliomba bila hicho cha std 7 na wakaniita kwenye interview ila ckwenda mana nilikuwa mbali na mjiMuda bado wa jaman bt Std 7 wanachukuliwa ushauri kwa wanaopenda kwenda jkt ni vyema ukawa na taaluma yako binafsi kwa mfano
Kwa walioishia Std 7 ni vyema ukawa na chet cha Taalum yoyote ambayo umethomea Veta
Na wewe hauna?
Guys Tukomaeni Mungu asaidie tuboe mnajua !!Mie cna ila mwaka jana niliomba bila hicho cha std 7 na wakaniita kwenye interview ila ckwenda mana nilikuwa mbali na mji
Mm nacheza njeNiwaambie ukweli ndugu zangu kuna mambo pia ya nje ya uwanja ambayo ni mbinu mkakati za kupata nafasi sijui mmejipangaje? maana hata ukiona nafasi ni 70 jua kua 40 zina wenyewe tayari..! huu ni ukweli nimeamua tu niwadokeze
Nje na ndani kote koteMm nacheza nje
please Guys Maintain your Confidentials Since we Don't all belong to the same Feathers.Nje na ndani kote kote
Nimekuelewa Sana. Ahsante.