Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Poa poa.Shukrani sana Kiongozi.
Poa poa.Shukrani sana Kiongozi.
njoo pm kkFanya kama unavoelekezwa kaka
poanjoo pm kk
Peter vipi Aiseewakuu hizi nafasi una apply direct au unaenda ofsini kuchukua form? afu mikoani mbona hawana taarifa??....
Peter vipi Aisee
Ama Nini . Vuteni Subira kaka watatoa Tu. Na Mungu Atasaidia Kila kitu Kitawezekana .Poa...huku kwetu bado aisee
Ama Nini . Vuteni Subira kaka watatoa Tu. Na Mungu Atasaidia Kila kitu Kitawezekana .
Yeke Tata Pierre Kana Nyamuhanga Atutangulie Sote Tata Mang'ana Yawe Masuri kabhisaa.Tuombeane mkuu...... mimi ntaenda kuombea home nilipo zaliwa koz kule ndo wananijua kuliko huku kwa baba mwenye nyumba
Subiri watatangaza Ndugu yangu , mi Kwa upande Wang nimeambiwa Tu zimetoka.Samahan ndugu zangu kwa kuonekana tomaso.mbona kwenye blog yao tanzazo halipo?
Pia naomba kuuliza kwenye vyombo vya habarii wametangaza?maana niliko taarifa shida
Alyen,makanya jr,shefwaa na wenye moyo naomba kujuzwa
Shukran mkuuSubiri watatangaza Ndugu yangu , mi Kwa upande Wang nimeambiwa Tu zimetoka.
Wilayani watakapopewa tAarifa waanze mchakato ndipo nao watatangaza moja kwa moja.Shukran mkuu
Sawa mkuu,MUNGU atanyosha mkpno wake tuuWilayani watakapopewa tAarifa waanze mchakato ndipo nao watatangaza moja kwa moja.
Baba ilala vp hujapatw taarifa?Wilayani watakapopewa tAarifa waanze mchakato ndipo nao watatangaza moja kwa moja.
Mijitu mengine banaa... watu wanataka habari makini we unaleta upumbavu kwenye uzi usio kuhusuTang'ana kawaambia mpaka mwezi wa 7 but nyie mmekazana tu sijui next week......next week......next week.....hatimaye july....hence Tang'ana proved.
Sijajua huko ila tayari wale ofisi ya mgambo washapewa updates, wanasubiri ruhusa tu wao.Baba ilala vp hujapatw taarifa?